mashetani

  1. FRANCIS DA DON

    Mwanaume kucheza Amapiano kwa kubinua macho kama mtu anaepandisha mashetani ndio nini tena jamani?

    Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi.., Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  3. Brain Kingdom

    Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Salaam nyote! Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote? Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
  4. S

    Tuwe wakweli, Rais Samia ameleta matumaini. Aliyepita aliwachukia wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima

    Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili. Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
  5. N

    Mashetani wanatumia hadi madhabahu ya kanisa kuzuia watu wasipate chanjo ya UVIKO-19

    SHETANI KAPANDISHA MOLI Ndugu zangu tupo kwenye ulimwengu ambao shetani anatenda kazi sawasawa, ukiona mtu anasimama kupinga chanjo na hana evidence ya upingaji wake jua sio yeye bali ni mashetani yako kichwani yanamuongoza muhimu tumuombee mashetani wanataka kuhakikisha mnakufa kwa ujinga...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je, Mizimu na mashetani ndio huchoma shule zetu?

    Tangu Zama za Shauritanga ilipoteketea, wimbi la shule kuungua na kuteketea kwa moto halijawahi kukoma. Kama sio madarasa yanaungua, Basi ni mabweni. Katika matukio haya ambayo yamekuwa yakichunguzwa kwa muda mrefu na Jeshi la polisi na zimamoto, hawajawahi kutupa chanzo hasa ni Nini, pia...
  7. J

    Kinyozi wa kike apandisha mashetani na kuzimia baada ya kugusa kichwa cha askofu Gwajima, aombewa na kuzinduka!

    Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake amesema leo asubuhi wakati anakwenda hapo ibadani alipitia saluni kusafisha kichwa chake. Alipoingia saluni na kuketi dada mmoja alimjia kwa nyuma na kujaribu kugusa kichwa chake lakini ghafla akaanza kuweweseka kama amepigwa shoti ya umeme na kupandisha...
  8. V

    Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  9. mgt software

    CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

    Wana Jf, Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo. walioshiriki kuua...
  10. The Palm Tree

    GE2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  11. Kapepo

    Hivi nina mkosi mimi

    Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida...
  12. Pascal Mayalla

    Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Wanabodi, Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
  13. Pascal Mayalla

    Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

    Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
  14. N

    Je, msioamini uwepo wa Mungu, mnaamini uwepo wa Shetani?

    Wakuu, Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza? KAMA SIYO,je haya...
Back
Top Bottom