Je, msioamini uwepo wa Mungu, mnaamini uwepo wa Shetani?

ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Wakuu,

Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?

KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani??????

Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???

KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...

Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?

Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,543
2,000
Sidhani kama unaweza kupata jibu hapa,
Haya ni mambo ya kiimani zaidi na kila mtu ana imani yake, kila mtu huamini imani yake ni bora/ni ya ukweli zaidi kuliko imani ya mwingine,endelea tu kuamini unachokiamini,acha kuhangaika na walimwengu.
 
Ubavu

JF-Expert Member
Jun 19, 2012
2,793
2,000
Wakuu
Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani?????? Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???
KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...
Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?
Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni
Mkuu kama hakuna Mungu basi hakuna Shetani pia. Hizi mambo zenu zote zipo kichwani mwenu tu, beyond that there is nothing! Pitia hii habari

Anneliese Michel - Wikipedia
 
geesten66

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,387
2,000
1.Hayo mambo ya kupandisha mashetani ni matatizo ya kiakili.

2. Dini zina tumia furusa hiyo kupiga pesa kwa baadhi ya watu wasiyo Juwa.

3.Wengine wana igiza kwa masilai yao binafsi.

4.Wanafunzi wa kike shuleni bakora zikizidi wanajidai kupandisha mashetani ili wasichapwe.
 
keithevans2685

Senior Member
Dec 17, 2014
110
225
Hakuna Mungu na Hakuna Shetani,ila kila stori nzuri inahitaji shujaa(superhero) na jambazi mkuu(Villain),ndio stori ya Mungu na Shetani.....mmoja ni shujaa na mwingine ni jambazi mkuu.
Mungu mwenye nguvu zote,za kufanya chochote(omnipotent),anajua kila kitu kabla hakijatokea(omniscient) angeweza kumshinda shetani kiurahisi,lakini stori isingekuwa ndefu na ya kuvutia,so lazima uwe na Mungu na shetani.

Kuhusu majini ni ugonjwa ya akili,kitaalum unajulikana kama conversion disorder,zamani uliitwa hysteria,inajulikana hivyo toka zamani na unatibiwa hospitalini,inajulikana kuwa inawapata wanawake zaidi kuliko wanaume,na ndio maana ni matatizo unayosikia huku kwetu sana kwasababu kuliko kwa wenzetu, kwasababu hatuna matibabu mazuri ya magonjwa ya akili.

Hata wazungu zamani kabla ya kufahamu Majini ni magonjwa ya akili kama magonjwa mengine walikuwa wanaamini kuwa ni nguvu za giza(devil possession) lakini toka 1920s ulipoanza ukuaji wa elimu ya magonjwa ya akili(psychology, psychiatry)ugonjwa huo ukaanza kutibiwa mahospitalini na watu kupona.

Unaweza kusoma kiurefu hapa

Conversion disorder: MedlinePlus Medical Encyclopedia

Conversion disorder - Wikipedia
 
Ina maana wanawake wengi ndiyo wenye matatizo ya akili? kwa nini mpaka kuwe na maombi flani ndiyo yaibuke..au unafikiri wanajifanyisha?
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Hakuna Mungu na Hakuna Shetani,ila kila stori nzuri inahitaji shujaa(superhero) na jambazi mkuu(Villain),ndio stori ya Mungu na Shetani.....mmoja ni shujaa na mwingine ni jambazi mkuu.
Mungu mwenye nguvu zote,za kufanya chochote(omnipotent),anajua kila kitu kabla hakijatokea(omniscient) angeweza kumshinda shetani kiurahisi,lakini stori isingekuwa ndefu na ya kuvutia,so lazima uwe na Mungu na shetani.

Kuhusu majini ni ugonjwa ya akili,kitaalum unajulikana kama conversion disorder,zamani uliitwa hysteria,inajulikana hivyo toka zamani na unatibiwa hospitalini,inajulikana kuwa inawapata wanawake zaidi kuliko wanaume,na ndio maana ni matatizo unayosikia huku kwetu sana kwasababu kuliko kwa wenzetu, kwasababu hatuna matibabu mazuri ya magonjwa ya akili.

Hata wazungu zamani kabla ya kufahamu Majini ni magonjwa ya akili kama magonjwa mengine walikuwa wanaamini kuwa ni nguvu za giza(devil possession) lakini toka 1920s ulipoanza ukuaji wa elimu ya magonjwa ya akili(psychology, psychiatry)ugonjwa huo ukaanza kutibiwa mahospitalini na watu kupona.

Unaweza kusoma kiurefu hapa

Conversion disorder: MedlinePlus Medical Encyclopedia

Conversion disorder - Wikipedia

Umejibu kirahisi sana mkuu.....babdo sijaelewa uhusiano wake na mambo ya uwepo wa Mungu.....kwa mfano nilkwenda na ndugu yangu ( huwa anamatatizo haya) kwa mchungaji mmoja ...wakati maombi yanaendelea yeye akasema anakwenda nje mara moja hajisikii vizuri...mchungaji akamwita akakataa akawa anakimbilia nje...walinzi wakamkamata wakampeleka mbele...mchungaji akaongea maneno yake yule binti akapandisha mashetani ,mchungaji akaongea nao halafu akayafyeka(kama alivyosema mwenyewe)..sasa najiuliza uhusiano uliopo kati ugonjwa huu wa akili na hilo tukio
 
Labda urahisi uko wapi!!?

Tuanze hapo
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,940
2,000
Ukiamini mungu yupo alafu ukasema shetani hayupo utakuwa ni mwendawazimu

Pia ukiamini shetani yupo alafu ukasema mungu hayupo utakuwa mwendawazimu .

Sababu mungu na shetani ni natural spirts zinazokinzana
 
ngonyango

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
1,836
2,000
Kwenye maombi wanajifanyisha ili kuteka waumini.

Na mimi nilkuwa naamini hivyo hivyo wanajifanyisha ...lakini nilipatwa na mshangao baada ya kumshuhudia ndugu yangu wa damu ninayemlea mwenyewe kupatwa na hiyo kitu mbele yangu baada ya maombi na nilimpeleka mwenyewe alikuwa hajui chochote.....ila najua anayo mashetani tangu mdogo na alisema siku hiyo hataki yapande tukakaa mbali kabisa...lakini akawa hoi
 
geesten66

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,387
2,000
Na mimi nilkuwa naamini hivyo hivyo wanajifanyisha ...lakini nilipatwa na mshangao baada ya kumshuhudia ndugu yangu wa damu ninayemlea mwenyewe kupatwa na hiyo kitu mbele yangu baada ya maombi na nilimpeleka mwenyewe alikuwa hajui chochote.....ila najua anayo mashetani tangu mdogo na alisema siku hiyo hataki yapande tukakaa mbali kabisa...lakini akawa hoi
 
kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,363
2,000
Wakuu,

Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?

KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani??????

Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???

KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...

Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?

Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni

unajua kuna watu wanavyotumia ID feki humu wanazani kama wakifa wataenda na ID zenu

hivi jiulize ule uwezo wa binadamu kutuza kumbukumbu mzungu hadi leo hajui sehemu gani ya mwili hinatuza hiyo kitu

hanabaki kusema tu ubongo
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
12,798
2,000
Kutokuamini Mungu yupo mie naamini sio imani, wala ujanja, ni ugonjwa wa akili a.k.a. ukichaa tena uendawazimu.!
 
keithevans2685

Senior Member
Dec 17, 2014
110
225
Kama hutunzi kumbukumbu kwenye ubongo,mbona ukipata matatizo ya ubongo unapoteza kumbukumbu!!?

Watu wanaoumwa magonjwa ya dementia,ambayo ni magonjwa ya ubongo wanafikwa na swala la kupoteza kumbukumbu.

Kuna kila aina evidence ubongo wako ndio unatunza evidence.

Tusichokifahamu btw ni jinsi hizo kumbukumbu zinatunzwa na watu wanaendelea kusoma na kujifunza njisi ubongo unavyofanya kazi kwenye swala hilo.

Halafu kutofahamu kitu hakumaanishi kuwa ndio kuna Mungu,kunaamanisha hatuelewi kuhusu hilo swala,ni mambo mengi tulikuwa hatufahamu kabla,mfano jinsi ya mvua inavyotengenezwa,jua linavyowaka,magonjwa yanavyotokea......wazee wetu waliamini ni Mungu au miungu ndio inaleta haya lakini kuna binadamu wachache waliamua kuyasoma na kuyaelewa na wakajikuta wanagundua vyote vinaletwa na matukio hapahapa duniani na hayahitaji maelezo ya Mungu wala Miungu.
unajua kuna watu wanavyotumia ID feki humu wanazani kama wakifa wataenda na ID zenu

hivi jiulize ule uwezo wa binadamu kutuza kumbukumbu mzungu hadi leo hajui sehemu gani ya mwili hinatuza hiyo kitu

hanabaki kusema tu ubongo
 
DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,265
2,000
Sasa shekhe anatoaje mapepo wakati uislam na majini ni saww na coca na fanta
Wakuu,

Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?

KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani??????

Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???

KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...

Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?

Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
2,265
2,000
Hakuna Mungu na Hakuna Shetani,ila kila stori nzuri inahitaji shujaa(superhero) na jambazi mkuu(Villain),ndio stori ya Mungu na Shetani.....mmoja ni shujaa na mwingine ni jambazi mkuu.
Mungu mwenye nguvu zote,za kufanya chochote(omnipotent),anajua kila kitu kabla hakijatokea(omniscient) angeweza kumshinda shetani kiurahisi,lakini stori isingekuwa ndefu na ya kuvutia,so lazima uwe na Mungu na shetani.

Kuhusu majini ni ugonjwa ya akili,kitaalum unajulikana kama conversion disorder,zamani uliitwa hysteria,inajulikana hivyo toka zamani na unatibiwa hospitalini,inajulikana kuwa inawapata wanawake zaidi kuliko wanaume,na ndio maana ni matatizo unayosikia huku kwetu sana kwasababu kuliko kwa wenzetu, kwasababu hatuna matibabu mazuri ya magonjwa ya akili.

Hata wazungu zamani kabla ya kufahamu Majini ni magonjwa ya akili kama magonjwa mengine walikuwa wanaamini kuwa ni nguvu za giza(devil possession) lakini toka 1920s ulipoanza ukuaji wa elimu ya magonjwa ya akili(psychology, psychiatry)ugonjwa huo ukaanza kutibiwa mahospitalini na watu kupona.

Unaweza kusoma kiurefu hapa

Conversion disorder: MedlinePlus Medical Encyclopedia

Conversion disorder - Wikipedia
Na vipi kuhusu kutumiwa majini au kulogwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,890
2,000
Wakuu,

Kuna jambo linatitatiza juu ya mambo ya imani.Huwa nawaona humu jukwaani watu kama akina Kiranga huwa wanakataa uwepo wa Mungu...lakini pia kwa upande mwingine sisi wengine tuna imani kuwa kuna ulimwengu wa giza ,je na nyie huwa mnaamini kuna ulimwengu wa giza?

KAMA SIYO,je haya mapepo(mashetani) ambayo huwa tunaona watu wakihangaika nayo huwa ni kitu gani?manake mimi nimeishi na mtu ambaye anamatatizo kama hayo ya kubadilika macho,sauti na nguvu ,kutulia kwake mpaka aje shehe aseme mistari flani ya quran ndiyo anatulia...na quran tunaamini ni kitabu cha Mungu ..je hapa hamuoni kuna nguvu zaidi ya shetani??????

Pia hata wachungaji pia tunaonaga wakiyafukuza haya mashetani....au hamuamini pia kwenye ulimwengu wa giza???

KAMA NDIYO mnaamini uwepo wa ulimwengu wa giza , maana yake upande mwingine kuna ulimwengu wa mwanga ambao ndiyo upi sasa?...

Na kama hamuamini chochote kati ya Hivyo mnaamini katika nini?Hakuna nguvu ya zaidi ya tunayoyajua?

Hapa tuelimishane kwa facts na siyo jazba wala kuwa defensive tunataka facts only....karibuni

Majibu yao huwa wanayaleta kwa lugha ya kiingereza, ndicho kinachowaaminisha. sasa unategemea nini!😂😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom