mashambulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Urusi yadai ‘hatua ya kwanza’ ya mashambulizi ya Ukraine imekamilika

    Afisa mkuu wa ulinzi wa Urusi anasema "hatua ya kwanza ya mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yamekamilika" Juhudi sasa zinaweza kulenga "ukombozi wa Donbass," source RT News Russia claims ‘first stage’ of Ukraine offensive complete Efforts can now be focused on...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brent Renaud: Mwandishi wa Marekani auawa kwa kushambuliwa Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema. Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa mwandishi wa habari na mtengenezaji wa filamu ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo hilo kwa muda sasa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

    Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi

    Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi. Mara baada ya kuripotiwa taarifa ya milipuko katika miji mbalimbali ya Ukraine, Rais wa Marekani Joe amemshutumu Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kusema “Urusi...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Israel yaishambulia Syria kujibu mashambulizi ya anga

    Jeshi la Israel limesema lilishambulia betri za makombora nchini Syria baada ya kombora la kutungulia ndege kurushwa kuelekea Israel wakati ambapo televisheni ya taifa ya Syria iliripoti kuwa ni shambulio la awali karibu na Damascus Shirika la Reuters linaripoti . Msemaji wa jeshi alikataa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vita havijaribiwi, Ila silaha zinajaribiwa

    VITA HAVIJARIBIWI, SILAHA NDIZO ZINAJARIBIWA. Anaandika, Robert Heriel. Vita ni sumu. Sumu haionjwi. Vita ni mkondo wa MTO wenye maji, kamwe usitie miguu kupima kina cha maji. Vita havijaribiwi, ukivi-beep vinakupigia pasipo tafadhali. Maisha ni vita, maisha hatajaribiwi, maisha hayachezewi...
  8. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Israel: Waziri wa Ulinzi Benny Gantz aiambia Israel ijiandae kwa vita dhidi ya Iran

    Benny Gantz Waziri wa ulinzi wa Israel ametoa maelekezo ya kuishambulia Iran hivi leo mara baada ya kupewa ruksa ya kuichapa Iran. Waziri huyo wa ulinzi ameshalielekeza jeshi la anga jinsi ya kuipiga Iran bila kukosea target. Pia majuzi Iran imesambaza wanajeshi wake mashariki ya kati kwa...
  9. Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia ngome ya Iran huko Syria

    Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa! Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses. -------- Syria’s state media quoted an unnamed military official as saying that several missiles...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kusema hakuna wa Kumuweza na sasa Mashambulizi yanazidi Kwake, Haji Manara atishia kuwafanyia Kitu mbaya wanaomshambulia Mitandaoni

    Tukiweka Kumbukumbu sawa ni huyu huyu Haji Manara (Msemaji mpya wa Yanga SC ) alipohamia huko alijigamba na Kujimwambafai kwa kila namna kuwa hakuna mwana Simba SC anayemuweza kwa Kuchafuana na Kutaniana pia. Leo akiwa katika Interview EFM katika Kipindi Bora kabisa cha Michezo nchini cha...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania New Zealand kubana zaidi Sheria kudhibiti mashambulizi ya kigaidi

    Waziri Mkuu, Jacinda Ardern amelitaka Bunge kupitisha Sheria itakayofanya kupanga mashambulizi ya kigaidi kuwa kosa Hatua hiyo inakuja baada ya Mtu mmoja Raia wa Sri Lanka kushambulia kwa kisu watu saba kabla ya kuuawa na Polisi kwa risasi Septemba 03, 2021. Waziri Mkuu amesema watu watatu kati...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kwani amebadilishwa na nani? Mbona speech zake zimekuwa kama kujibu mashambulizi na kujihami tu

    Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi. Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

    Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya mashambulizi ya anga Gaza

    Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake. Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watu Takribani 55 waliuawa katika mashambulizi huko DRC

    Jeshi na kundi la haki za kiraia katika eneo, liliwalaumu Allied Democratic Forces (ADF), kundi la kiislam lenye silaha, kwa kuvamia Kijiji cha Tchabi na kambi moja ya watu waliokoseshwa makazi karibu na kijiji kingine cha Boga. Vyote vipo karibu na mpaka wa Uganda. Watu angalau 55 waliuawa...
Back
Top Bottom