BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 422
- 1,049
Tangu mwaka 2009 Jimbo la Borno limekuwa likikabiliwa na mashambulizi ya vikundi ikiwemo Boko Haram. Mamilioni ya watu wamehama na zaidi ya 350,000 wamepoteza maisha kutokana na kushambuliwa.
Inaelezwa kundi la washambuliaji likiwa katika pikipiki walishambulia watu kwa risasi waliokuwa shambani na wengine wakawekwa mateka kisha kuanza kuwaua mmojammoja.
Chanzo France24