Waziri Mkuu, Jacinda Ardern amelitaka Bunge kupitisha Sheria itakayofanya kupanga mashambulizi ya kigaidi kuwa kosa
Hatua hiyo inakuja baada ya Mtu mmoja Raia wa Sri Lanka kushambulia kwa kisu watu saba kabla ya kuuawa na Polisi kwa risasi Septemba 03, 2021. Waziri Mkuu amesema watu watatu kati...
Alianza vizuri kutoa hotuba zenye kusisimua na kuelekeza kwa upole na unyenyekevu mwingi lakini siku hizi ni kufokafoka tu na kujihami kana kwamba ameambia anaenda kupinduliwa mda si mrefu. Au CCM wamemharibu mapema hivi.
Ukisikiliza hotuba ya juzi kwa viongozi wa dini ni kama alienda akiwa...
Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo.
Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake.
Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha...
Jeshi na kundi la haki za kiraia katika eneo, liliwalaumu Allied Democratic Forces (ADF), kundi la kiislam lenye silaha, kwa kuvamia Kijiji cha Tchabi na kambi moja ya watu waliokoseshwa makazi karibu na kijiji kingine cha Boga. Vyote vipo karibu na mpaka wa Uganda.
Watu angalau 55 waliuawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.