Israel yashambulia ngome ya Iran huko Syria

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,554
12,674
Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa!

Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses.

--------

Syria’s state media quoted an unnamed military official as saying that several missiles struck the containers area in the port, setting some of them on fire. The official gave no further details.

It was a highly irregular attack on the port of Latakia, a vital facility where much of Syria’s imports are brought into the war-torn country and through which Iran reportedly brings in weapons to its militias in the country, including the Lebanese terrorist army Hezbollah.

Though Israel has regularly conducted raids against Iranian-linked targets in Syria, it rarely strikes close to Latakia, let alone inside the terminal, as the Russian military maintains a base of operations nearby. Due to its delicate relationship with Moscow, Israel typically refrains from carrying out attacks against targets if there are Russian troops nearby, though Israel believes that this well-known policy has led Iran to seek to protect its arms transfers by conducting them near Russian-controlled areas.

The previous time that Israel reportedly conducted a strike on a target in the city of Latakia — though not in the port — was in 2018, during which a Russian spy plane was accidentally shot down by Syrian air defenses, causing a major confrontation between Jerusalem and Moscow. Israel has also reportedly carried out raids against targets in the port city in 2014 and twice in 2013.

Syrian state TV reported that following the initial strike at roughly 1:20 a.m. Tuesday, five blasts were heard in the port and a huge fire erupted in the containers area. Fire engines were reportedly rushed to the port, likely indicating secondary explosions caused by the arms inside the depot detonating.

There was no comment from the Israeli military.

Israel has staged hundreds of strikes on targets inside government-controlled Syria over the years but rarely acknowledges or discusses such operations. Many of the strikes in the past had targeted the main airport in the capital Damascus, through which Iran is also believed to transfer advanced arms to its proxies.

Israel has acknowledged, however, that it targets the bases of Iran-allied terror groups, such as Lebanon’s Hezbollah that has fighters deployed in Syria. It says it attacks arms shipments believed to be bound for the groups.

Hezbollah is fighting on the side of Syrian President Bashar Assad’s forces in the decade-old civil war.

Israel says Iranian presence on its northern frontier is a red line, justifying its strikes on facilities and weapons inside Syria.

Source: In rare strike, Israeli warplanes said to attack Latakia port
 
Yale machuma mrusi aliyofunga hapo Syria ni kama hayafanyi kazi. Yaani ndege za Israel zinapita kwenye hayo hayo machuma kujipigia maeneo mbalimbali. Ukichunguza vizuri unaweza kuta mrusi kafunga machine za kusaga mahindi huko Syria.
 
Yale machuma mrusi aliyofunga hapo Syria ni kama hayafanyi kazi. Yaani ndege za Israel zinapita kwenye hayo hayo machuma kujipigia maeneo mbalimbali. Ukichunguza vizuri unaweza kuta mrusi kafunga machine za kusaga mahindi huko Syria.
Kama ni machuma chuma. Niambie ni lini ulisikia kambi ya Urusi imeshambuliwa na Israel hapo Syria. Zamani Israel ilikuwa inaingia ndani ya Syria inashambulia, sasa ivi anaenda Lebanon ndo anashambulia.unajua ni kwa sababu gani?
 
Kama ni machuma chuma.niambie ni lini ulisikia kambi ya Urusi imeshambuliwa na Israel hapo Syria. Zaman Israel ilikuwa inaingia ndani ya Syria inashambulia, sasa ivi anaenda Lebanon ndo anashambulia. Unajua ni kwa sababu gani?
Hili shambulio limefanyika katika bandari ya Syria na wala siyo Lebanon. Israeli hana ugomvi na Mrusi, ana ugomvi na vikundi vya kigaidi vilivyojikusanya huko Syria na ndivyo anavibonda.
 
Yale machuma mrusi aliyofunga hapo Syria ni kama hayafanyi kazi. Yaani ndege za Israel zinapita kwenye hayo hayo machuma kujipigia maeneo mbalimbali. Ukichunguza vizuri unaweza kuta mrusi kafunga machine za kusaga mahindi huko Syria.
Israel huwa inawasiliana na Russia kwanza, so sometimes wanayazima ili wayahudi wafanye yao
 
Hili shambulio limefanyika katika bandari ya Syria na wala siyo Lebanon. Israeli hana ugomvi na Mrusi, ana ugomvi na vikundi vya kigaidi vilivyojikusanya huko Syria na ndivyo anavibonda.
Nafikiri ujaelewa nini namanisha.shambulizi sio lebanon bali ni Syria.ila akitaka kufanya shambulizi Syria, ndege zinakaa Lebanon alafu zinatuma makombola Syria. Ni kwa sababu mifumo ya Assad imefanyiwa maboresho kwa msaada wa Urusi kwa iyo inaweza kutungua muda wowote ule ndege za Israel
 
Nafikiri ujaelewa nini namanisha.shambulizi sio lebanon bali ni Syria.ila akitaka kufanya shambulizi Syria,ndege zinakaa Lebanon alafu zinatuma makombola Syria.ni kwa sababu mifumo ya Assad imefanyiwa maboresho kwa msaada wa Urusi kwa iyo inaweza kutungua muda wowote ule ndege za Israel
Acha fix ndugu....hivi unajua aliposhambulia israel na Lebanon kuna umbali gani au unajiropokea tu?
 
Acha fix ndugu....hivi unajua aliposhambulia israel na Lebanon kuna umbali gani au unajiropokea tu?
Kuna watu wabishi sana hapa Duniani sijapata kuona.umbali wa kutoka Lebanon mpaka Port ya Latakia ni 300km.wakati makombola yana uwezo wa kwenda mpaka 3000km(mara 10 ya uwo umbali unaosema wewe).

Acha kubisha vitu usivyovijua
 
Back
Top Bottom