masasi

Masasi is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Lindi Region, to the east by the Newala District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique and to the west by Nanyumbu District.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Masasi District was 247,993 and in Masasi town the population was 102,696.

View More On Wikipedia.org
  1. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa la kiutawala wilaya ya masasi

    Imepita miaka mingi wilaya ya masasi imegubikwa na mambo ya hovyo hovyo na hayaondoki kila siku hujirudia na utadhani hakuna viongozi wanaopaswa kutatua kero hizo 1. Umeme, sidhani kama kuna wilaya ambayo inaongoza kwa kukatakata umeme kama masasi 2. Barabara zilizobomolewa kuacha bila...
  2. Wakujibwea45

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naombeni taarifa hizi muhimu kuhusu route ya Masasi kwenda Sumbawanga

    Habari zenu humu ndani Ningependa kujua kama pale stendi ya Masasi naweza pata bus ya moja kwa moja hadi sumbawanga Kama lipo je nauli ni bei gan na kama hakuna je njia gani naweza pita adi kufika sumbawanga kutokea pale masasi na gharama zake ni bei gani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Masasi Mtwara naombeni ufafanuzi wa haya

    Wakuu kwema.! Wiki ijaona natarajia kusafiri kwenda wilaya tajwa hapo juu natokea mvomero, Morogoro, nitakuwepo huko kwa siku 21 Naomba kuuliza machache, Usafiri wa kwenda huko unaanzia Moro ama Dar kama natokea mvomero? Gari gani zinaenda huko? Nikiondoka asubuhi naweza kufika siku hiyo hiyo...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Masasi Mtwara: Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao

    Na Chedaiwe Msuya,WF,Mtwara Wafanyabiashara wametakiwa kujenga tabia ya kuweka akiba katika biashara zao ili kuhakikisha wanakuwa na maendeleo endelevu. Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Ramadhani Myonza, alitoa wito huo alipokuwa akitoa elimu ya utunzaji na...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bashungwa atoa saa tatu kurejeshwa mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi iliyokatika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za gesti za bei nafuu Newala na Masasi

    Habari zenu wana Jf, Nina safari ya kwenda Masasi kesho insha'allah then nitaenda Newala kisha Mtwara mjini. Naomba kuulizia anayefahamu gesti za bei nafuu kwa Newala na Masasi bajeti ya sh elfu kumi hadi kumi na 5. Asanteni sana ndugu zanguni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  8. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mahusuano mabaya: Viongozi Masasi Mkoani Mtwara kaeni mjipange vizuri

    Katika hali ya kipekee leo Rais katika zuara yake Masasi Mkoani Mtwara amepokea kero mbalimbali lakini kero hii ya mahusiano amewataka viongozi wakae. Ni kweli zipo kero nyingi lakini kero inapofikishwa kwa Rais inapata uzito. Kero hii inaonesha bado tuna safari ndefu sana katika utekelezaji...
  9. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Habari Wazee wenzangu, Naulizia bus za kutoka Mbeya hadi Masasi au Mtwara Mkoani. Kama zipo ni kampuni gani na nauli ni shilingi ngapi hadi Masasi Town. Asante.
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Masasi wampa tano Rais Samia

    MWENYEKITI Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Mtwara , Julius Kaondo, amesema lengo la Serikali ni kuwezesha kundi la watu wenye changamoto ya kiuchumi katika maeneo yao kwa kuwapa usaidizi ili waweze kujinyanyua wenyewe. Kaondo amesema hayo juzi wakati wa kikao cha Wazee maarufu na Mkurugenzi wa Mji wa...
  11. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kiongozi mmoja idara ya Elimu Sekondari halmashauri Masasi DC hana utu

    Katika pitapita yangu nimekuta walimu wa Sekondari halmashauri ya wilaya ya Masasi wakibadilishana mawazo lakini katika hali ya kulalamika kuwa kuna kiongozi mmoja ndani ya idara ya Elimu Sekondari hana utu. Nilitamani sana kujua ana matatizo gani hasa, yafuatayo yalibainishwa kuwa ndiyo...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Vijiji 60 wilayani Masasi havina maji safi

    Vijiji hivyo havina huduma ya maji safi na salama, tangu kuanzishwa kwa Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Wakazi wa eneo hilo wameshauri viongozi wa RUWASA kuacha kuchanganya siasa na maji. Diwani wa Kata ya Nang’ang’a, Hams Twalibu amedai Wananchi wamekuwa wakidai...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mzazi arejeshewa kichanga alichodaiwa kukitupa porini baada ya kujifungua, hali ya sintofahamu yaibuka

    Kichanga cha siku moja kilichookotwa na Afisa Mtendaji, Haridi Karo wa Kata ya Pachani, Mtaa wa Mtandi - Masasi Mkoani Mtwara kimeibua mvutano kati ya Ofisi ya Ustawi wa Jamii Masasi na Polisi wilayani humo. Mvutano huo umeibuka baada ya Afisa Ustawi wa Wilaya, Leila akishikiriana na Mkuu wa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mtwara wilaya ya Masasi hakuna takwimu za watoto wanaoacha shule?

    Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu. Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa...
  16. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Masasi ya Geofrey Mwambe ni bambam

    Anaandika Mo Mlimwengu. Historia hutusaidia kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda. Mh Geofrey Mwambe Mbunge wa Masasi Mjini anazidi kujipambanua kiutendaji namna ambavyo anajitahidi kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake. Binadamu tumeumbwa kusahau na kuna wakati mtu akifanya mazuri tunaona ni...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masasi: Mfululizo mauaji ya kikatili kwa Wanawake, Polisi wataja wivu wa kimapenzi

    Kufuatia mfululizo wa mauaji ya kikatili hasa kwa Wanawake Wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Jeshi la Polisi limedai kuwa vyanzo vingi ni masuala ya mapenzi. Kauli hiyo imetolewa baada ya tukio lingine la mauaji kutokea usiku wa kuamkia jana Agosti 11, 2022, ambapo mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Hofu ya mauaji ya kikatili Wasichana yatanda Masasi

    Mfululizo wa matukio ya mauaji ya kikatili hasa kwa Wasichana yaliyotokea hivi karibuni Wilayani Masasi Mkoani Mtwara kumetajwa kusababisha taharuki na hofu kwa wenyeji. Kwa mujibu wa taarifa za vifo hivyo tangu Januari hadi Agosti mwaka huu wasichana watano na mvulana mmoja wamekutwa wameuawa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya masasi mkeka kitambo barazani

    Mkeka ushachanwa siku 3.
  20. astalavista

    JamiiForums Tanzania Vibao vya Makazi vingekuwa aina moja nchini, Masasi DC ni aibu nyingine

    Nimeona na baadhi ya maeneo uwekaji wa vibao vya barabara na mitaa namna ambavyo imeacha maswali kwa wananchi, binafsi nimeyakuta haya Masasi hasa vijiji vya Masasi Dc. Wakati zoezi linaanza nilifikiri pengine utaratibu mpya wa kupata majina na vibao elekezi vya mitaa na barabara lingefanyika...
Back
Top Bottom