kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,181
- 1,574
Jamani hizi takwimu za wanafunzi huko Kusini Mtwara kuacha shule ni kubwa sana. Yaani zaidi ya wanafunzi 1500, hii siyo ya kufurahia wala kuchekea. Tuwaombee wenzetu.
Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa? Kwamba wanafunzi hao wote ni kutoka Newala?
Kwanini Masasi haijatajwa?
Ila pamoja na haya, mbona wamezitaja Wilaya za Newala vijijini na Newala Manispaa? Masasi nayo ipo Mtwara, mbona haijatajwa? Kwamba wanafunzi hao wote ni kutoka Newala?
Kwanini Masasi haijatajwa?