Masasi is one of the six districts of the Mtwara Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Lindi Region, to the east by the Newala District, to the south by the Ruvuma River and Mozambique and to the west by Nanyumbu District.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Masasi District was 247,993 and in Masasi town the population was 102,696.
Mbunge wa jimbo la Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa leo Machi 27, 2022.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli.
Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000.
Na Mtwara Lindi...
Kwa muda wa zaidi ya wiki mbili sasa Korosho za wakulima zimeshindwa kwenda mnadani katika vyama vya msingi vilivyo vingi kama si vyote.
Kinachoelezwa chanzo ni ukosefu wa Magunia ya kuhifadhia na kusafirishia Korosho. Hali hii inaharibu kama si kuua soko la Korosho ambalo linaingiza mapato...
Wadau, leo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi aliamua kumvua cheo Mwalimu Mkuu shule ya Msingi Chiwata tena mbele ya halaiki ya watu kisa kakosa hela ya kutoa harambee ya kuchangia maendeleo ya Kata.
Mkutano huo ulikuwa umeandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe...
Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini.
Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani...
Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme.
Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
Na Hamisi Nasri, MASASI
WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni.
Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.