maruhani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

    Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote. Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
  2. Roving Journalist

    DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

    Mamlaka ya Huduma za Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA) imetoa agizo la kusitisha biashara ya usambazaji wa maji ya visima katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam ndani ya siku thelathini (30) kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa kwa wahusika. Agizo...
  3. Venus Star

    Je, ni Maruhani ya kiarabu kutoka kwa kocha yanaisaidia Yanga?

    Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina. Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu. Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa...
  4. Mung Chris

    Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

    Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa. Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia...
  5. wa stendi

    Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    Salaam wakuu poleni na harakati, Ni mda kiasi sikuwa hapa jukwaani kutokana na kazi za hapa na pale ila namshukuru Mungu nimerudi salama huko nilikokuwa, kwanza niwape poleni kwa misukosuko ya hapa na pale pamoja na Paschal Mayalla member mwenzetu sijui anaendeleaje mpaka sasa maana mara ya...
Back
Top Bottom