Katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaoendelea leo Machi 18, 2026 Arusha kwenye ukumbi wa Centre house, Bwana Ezra amesema kuwa vurugu nyingine zinasababishwa na vijana wanaotoa hotuba za chuki dhidi ya wengine.
Aidha ametoa...
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.
Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much.
Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
Siyo siri, serikali ya Awamu ya 6 ina matatizo ya kukubalika na jamii.
Sitaingia katika sababu za kufikia hapo.
Lakini wakati wa msiba wa baba Yetu Cardinali Pengo, imejidhihirisha wazi kuwa watu wanajua viongozi wanao wapenda.
Kwa kushangiliwa kwa upendo na bashasha kubwa Mpango, Makamu wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema kuanzia Februari 06, 2026 waongoza sherehe, burudani na matukio (MCs) pamoja na Manju Muziki (DJs) wote wasio na vibali halali vya BASATA hawataruhusiwa kujishughulisha na kazi hizo hapa nchini.
BASATA imesema yeyote atakayekiuka agizo hilo atatozwa...
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika...
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii.
Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati.
Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao
Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026):
- Afghanistan (chini ya Taliban)
- Masomo yote yanayohusu haki za wanawake
- Gender studies / Jinsia na masuala ya kijinsia
-...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika.
Kusoma hoja ya Mdau...
Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania
Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu.
ukiziona Klugger zina mchina basi kuna asilimia kubwa yupo safarini kuchukua coin zilizomezwa,
Sikutegemea kama usiku huu wa kuamkua 2026 mwaka mpya utanivuruga kisaikolojia
Nilizoea kufurahia baruti za mwaka mpya lakini kwa mara ya kwanza nimehuzunika
kila ninaposikia milio ya baruti, akili inarudi kwenye milio ya 29 Oktoba mwaka jana
Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump.
Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri.
Kwa mujibu wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amethibitisha kwamba Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), alikamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano kinyume na sheria.
Kwa mujibu wa taarifa ya kamanda huyo wakati akihojiwa na kwa njia ya simu na Clouds TV, Mhadhiri huyo alikamatwa...
Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia.
CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.