marketing

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Anahitajika Afisa Masoko na Mauzo (marketing & sales) - Mwanza au Dar es Salaam

    Hello! Wana JF. Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.
  2. chuma gama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

    Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Computer graphic, photoshop, illustration, Logo design, printing, marketing

    Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience. Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
  4. T

    JamiiForums Tanzania KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  5. Meekah 1

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu

    Habari wana jamii forum, Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu. Details zangu kwa ufupi. Age:25 Education level: Bachelor degree in Bussiness Administration. Work Experience: 2+ years as an assistant sales and production in FMG industry. In-depth knowledge: National and...
  6. Tembele

    JamiiForums Tanzania Marketing Officer Job Vacancy

    MARKETING OFFICER JOB VACANCY About ECOACT Tanzania Limited EcoAct Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change. We recycle and transform post consumer plastic wastes to...
  7. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa marketing

    Habari wakuu Mimi ni designer wa UI&UX za mobile Apps...sasa kuna mambo mawili ambayo yamefanya nije jukwaani kutafuta mtu wa marketing. 1) Wanunuzi wa designs zangu. Kama ambavyo producer huwa anatengeneza beat kisha msanii akiskiliza akapenda akamuuzia beat hiyo au kuingia studio kurekodi...
  8. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natoa 50k (elfu hamsini)

    Habari wakuu Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao. -Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola -Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light -Joseph Kusaga -Majizzo -Diamond Platnumz Haya twende kazi 50k...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane gharama za Marketing Meneja wa Mitungi ya Gesi huyo January Makamba, zililipwa na Rostam?

    Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu? Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman? Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
  10. N

    JamiiForums Tanzania CEO BARBARA MPISHE MAGORI,HAMIA MARKETING

    Inavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili Mbaya zaidi mazungumzo yako kila siku yanafutayarisha kisaikolojia kumuuza sakho ambaye bila shaka mbadala wake atatoka...
  11. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya digital marketing

    Service yangu ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa na Vipindi vya Kuvirusha kwenye youtube instagram na Facebook ... Nakutengenezeae account ya Youtube instagrama na facebook kama hauna then nakuandalia ratiba ya kupost ya mwezi mzima kulingana na huduma unayotoa au biashara unayofanya ...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sales And Marketing Officer Job at Oldstone T Limited

    Job Overview SALES AND MARKETING OFFICER– RAMADA RESORT BY WYNDHAM DAR Hotel sales assistants work with sales managers and fulfill a variety of clerical and administrative duties, according to Ramada Resort by Wyndham. The sales assistant is responsible for marketing and selling guestrooms...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Power of Storytelling

    Kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku hatuna watu ambao watatuambia kitu ambacho mtu wa Kawaida hawez kukiona Mfano Ukienda ulaya utaona planning y miji katika nchi za ujerumani ni tofauti na France, Spain, na england, kote huko ukienda unakuta na upangaji wa miji unique...
  14. Inkotanyi 94

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kizuri dar cha bussiness marketing and computer networking!

    wapenzi wa kuondoa ujinga na kuongeza maarifa mnisaidie napata wap chuo chenye cheti cha kuthaminika kwa kozi nimetaja! mhusika wangu amehitim f4 mwaka 2021. nisaidien wide range of choices. uzazi kazi!
  15. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  16. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Machache Kuhusu SMS Marketing

    SMS MARKETING STRATEGY (Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi) SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma kwaajili ya kuwapa habari mbalimbali kuhusiana na huduma mbalimbali za kwenye biashara yako. AINA...
  17. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Bachelor of commerce in marketing UDOM, natafuta kazi

    Naitwa groly Miaka 24 Kutoka UDOM BINTI mdogo sana kutoka familia ya maskini Mwenye fursa mm napatikana +255 684 273 124
  18. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  19. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kutumia Marketing sms (bulk sms)

    SALAM WAKUU Naomba mwenye kufahamu mfumo unaoweza kutuma sms kwa kufuata Location. Mfano kama ilivyo BULK SMS unatuma sms kwa watu wengi kwa Pamoja ukiwa umeweka namba za watu unaotaka kuwatumia sms Sasa nauliza hivi hakuna Mfumo unowezesha kutuma sms kwa location Fulani tu, Yaani kama nataka...
  20. ze encyclopedia

    JamiiForums Tanzania Volunteer opportunities at a clearing company

    We are Clearing company located at Harbour View Tower 4th Floor, Looking for a volunteers in the following vacancy: Position: Sales and Marketing Officer location : Dar es salaam. Qualification:- Certificate or Diploma in Sales and Marketing, Understanding of freelancing and sales activities...
Back
Top Bottom