Habari za usiku utulivu wanajukwaa,
Leo bhana katika kupitia pita mtandaoni Huku na kule nikakutana na Link ya dalali muuza utamu, nikaingia ili nisome some kidogo kusudi muda uende bhana.
Kilichonishangaza ni jinsi wauza utamu wanavyo market biashara zao, mwingine anasema anashida ya 200k...