marioo

  1. I

    Marioo (TotoBad) amekuwa msanii lulu bongo kwa sasa

    Nimepata wasaa leo nikaskiliza album mpya ya barnaba classic. Ni album nzuri kwakweli lakini nilivyofika kwny track aliyomshirisha Marioo, kuna kitu tofauti kabisa nikagundua kwny ngoma hiyo. Yule kijana sasa hivi ni kana kwamba yupo ndani ya beat anaflow nalo kama mawimbi kwny bahari ,anafanya...
  2. Dong Jin

    Marioo kashashindikana! Unyama alioufanya kwenye Dear Ex nimemnyooshea mikono

    Nisiwe na maneno mengi hebu usikilize afu utoe maksi zako
  3. bahati93

    Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi

    Gift and curse. Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana pale anapopanda jukwaani watu wanaimba mashairi yake mwanzo mwisho. Sasa hatari nayoona kwa msanii...
  4. Its Pancho

    Harmonize nimekunyooshea mikono juu you are talented..! Shuhudia collaboration mpya Marioo ft Harmonize..!

    Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule. Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza.. Kwa...
  5. sinza pazuri

    Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

    Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde. Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi. Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa. Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna...
  6. Kichwamoto

    Hivi Marioo anafahamu ukubwa wa ushawishi na nguvu yake kimuziki hasa Amapiano?

    Habari Wana JF. Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu. Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha na vibes shibishi nafsi, hivi anafahamu hazina yake kwa hii niche ya muziki wa amapiano? Na anajua...
  7. Frumence M Kyauke

    Marioo: Sina mpenzi na sijawahi

    Msanii wa kizazi kipya Omary Ally maarufu kama Marioo, alisema hana mahusiano na wala hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke yoyote yule katika maisha yake. Marioo alibainisha hayo Agosti 28, 2019 wakati akizungumza katika Kikaangoni cha EATV wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu mwenendo...
  8. Jerlamarel

    Marioo, Mfalme wa Amapiano Bongo, Ndiye Msanii Bora kwa Sasa, Hajawahi Kutoa Wimbo Mbaya

    Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea mbali. Hebu angalia hii list ya nyimbo zake ndio utanielewa: 1. Dar Kugumu 2. Yale 3. Manyaku 4...
  9. Nchi Kavu

    Salamu kwa Marioo

    Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli. Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie rendition na aje na "Ndoa tamu". Nakuhakikishia mdogo wangu utakamata hadi ushangae. Ila jambo moja...
  10. Mayunga234

    Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

    Now kuna Battle ya hawa Wasanii kati ya Rayvanny VS Marioo. Let discuss here do they deserve to be in Bongo Flavor Battle. Rayvanny Marioo
  11. nusuhela

    Hivi huyu Mario ni nani?

    Aisee huyu dogo ni genius wa muziki wa bongo. Nyimbo za vilio vya mapenzi yuko poa. Sikiliza Inatosha na Unanionea utanielewa. Nyimbo za kuruka sikiliza Mama Amina. Nyimbo za kufurahia penzi sikiliza For You Huyu dogo atafika mbali sana narudia tena kusema hili. Naiona nidhamu ya hali ya juu...
  12. H

    Nilijua tu hii ya Marioo ni Kiki

    Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi. Shida niliyoiona wabongo wanapenda umbeya wabongo ukiwawekea picha tu tafsiri watatoa wao ndio maana...
  13. Mkogoti

    Marioo unatakiwa Ubadilike sasa sio kila siku nyimbo hizo hizo za kulalamika?

    Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda Nigeria, Congo, Kuimba una kipaji ila inabidi ujitahidi kuangalia hayo maeneo, pia nyimbo za mapenzi...
  14. Slowly

    Kuhusu Marioo...

    Nimeona Marioo anapewa sifa Sana kias cha kufananishwa na Konde Boy pamoja na Alli Kiba na wengine kwenda mbali zaidi kudai kijana anaweza kuwakalisha vibaya mno hao nguli wa mziki. Binafsi mimi sijamuelewa kivile kiasi cha kumfananisha na Konde Boy au Alli Kiba, sioni Hit Songs za Mariooo za...
  15. Nyaru-sare

    Majina ya hovyo kama Marioo, kwa nini yamejaa sana Uswahilini?

    Waswahili ukitunzwa na mke unapewa majina ya hovyo kama Marioo! Hili neno silipendi ni basi tu Wakati mnasema mke mwema hutoka kwa Bwana kwani mwenye kukupa pesa si mwema jamani? au nakosea! Europeans/Indians,Arabs; wanaamini To every successful Men behind there is woman! Africans; to every...
Back
Top Bottom