Kuhusu Marioo...

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Nimeona Marioo anapewa sifa Sana kias cha kufananishwa na Konde Boy pamoja na Alli Kiba na wengine kwenda mbali zaidi kudai kijana anaweza kuwakalisha vibaya mno hao nguli wa mziki.

Binafsi mimi sijamuelewa kivile kiasi cha kumfananisha na Konde Boy au Alli Kiba, sioni Hit Songs za Mariooo za kukimbizana na hawa jamaa. Kjana asije kavimba kichwa kiasii cha kukimbizana nao na kujikuta akiharibu vibaya. Kijana anazidiwa hata na BarackaDaPrince, Aslay, Barnaba Boy, Benpol na wakali wengne kibao.

Ngoma nayoikubali ni moja tu 'Dar Kugumu' na nyingine ameshirikishwa ya Chibonge

Upande wa vocal yupo talented ila kwa mashairi na tone bado
 
Zipi mkuu
Hizo ni opinion zako,,Eti marioo mashairi hana!!,,like serious??

Marioo anajua..kazi zake ni nzuri
Zipi hzo nzuri , nitajie tano Tu af na mie nikutakie tano za wasanii niliowataja
 
Huyu marioo hata mm naona anapambwa sana yaan sijawahi muelewa kabisa zaid ana saut ile ile ya kulia lia na habadiriki ni yule yule kila siku sasa huwa najiulizaga sana hawa waimba pambio juu ya huyu dogo kuna nn nyuma ya pazia ,kwa kifupi hamna kitu mule ,kuna mwingine ambae nae ni kulialia tu wakwita jay melody kama sijakosea nae anapambwa balaa ila mm sijaona kitu humo ni hayo tu alaf kila MTU na radha yake so tusilazimishane kukipenda kitu mwisho wa siku tunaitwa mahaters

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom