Asante Marioo kwa kumnyoosha Konde Boy kwenye TMA

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
Marioo kaonyesha ambacho tumekuwa tunawaambia kila siku kuwa ni mkubwa kuliko Konde.

Kwenye category ambazo wamesimama wote Marioo kamgalagaza vibaya huyo hamonaizi.

Tunawaambia tena achaneni na kiki za insta hizo hata hamorapa na Amba rutty wanazungumziwa.

Marioo kamnyoosha sana sasa hakuna tena ubishi konde ni underground kwa Marioo.

Acha tuendelee kugonga henny kazi imeisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ujiaibisha,,mituzo gani hiyo!?
 
Mario alistahili kushinda category alizokuwepo, ila ajifunze kitu zile category seriously kangukia puwa aache kufanya mziki mwepesi mwepesi otherwise atapotea
 
Dogo alistahili tuzo nyingi nikimtizama Mario na baadhi ya vionjo ya nyimbo zake zinazokuja huyu dogo atakimbiza sana. Ila dogo sasa hivi ni muda wa kuwekeza East Africa hapa Tanzania kishamaliza, akapige media tour Kenya, Rwanda na Burundi kwa ajili kujibrand, kutengeneza connection na wadau wa mziki Afrika Mashariki na kutengeneza mizizi ya muziki wake EA.

Ila bongo kwa sasa dogo anakimbiza.
 
Acha tuendelee kugonga henny kazi imeisha
Nini Konde kamgalalagaza mpaka Kiba
 
Wabongo tupoje sijui!kila siku tunafikiria negative tu,wanigeria awawashindanishi wasanii wao na ndio maana hamna bifu za ajabu ajabu na wasanii wanapigana tough na hamna anaemuonea wivu mwenzie au kutaka kumshusha mwenzake alipo ili aonekane yeye ni bora,tuna cha kujifunza toka naija ili tuache uswahili
 
Mario alistahili kushinda category alizokuwepo, ila ajifunze kitu zile category seriously kangukia puwa aache kufanya mziki mwepesi mwepesi otherwise atapotea
Kwa wasanii wa bongofleva category serious ni alizoshinda Marioo.
 
Wabongo tupoje sijui!kila siku tunafikiria negative tu,wanigeria awawashindanishi wasanii wao na ndio maana hamna bifu za ajabu ajabu na wasanii wanapigana tough na hamna anaemuonea wivu mwenzie au kutaka kumshusha mwenzake alipo ili aonekane yeye ni bora,tuna cha kujifunza toka naija ili tuache uswahili
Pale unapoamua kuzungumzia kitu ambacho upo very shallow ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hujui muziki wa Nigeria
 
Jamani si tulikubaliana chuki zote tunazielekeza kwa Dimondi mpaka aishe kabisa kimuziki. Mbona mnamshambulia na Hamonaiza tena ?

images - 2022-03-12T214907.317.jpeg
 
Dogo alistahili tuzo nyingi nikimtizama Mario na baadhi ya vionjo ya nyimbo zake zinazokuja huyu dogo atakimbiza sana. Ila dogo sasa hivi ni muda wa kuwekeza East Africa hapa Tanzania kishamaliza, akapige media tour Kenya, Rwanda na Burundi kwa ajili kujibrand, kutengeneza connection na wadau wa mziki Afrika Mashariki na kutengeneza mizizi ya muziki wake EA.

Ila bongo kwa sasa dogo anakimbiza.
Dogo yupo vizuri ule wimbo wake wa d'Amoir ni mkali Sana una vionjo vya tofauti Sana sema Jamaa nyota hana
 
Back
Top Bottom