Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,144
2,024
Gift and curse.

Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana pale anapopanda jukwaani watu wanaimba mashairi yake mwanzo mwisho.

Sasa hatari nayoona kwa msanii wetu kipenzi ni pale anapotaja KIFO katika mashairi yake. Na nimeshasema maneno yake yana nguvu kubwa sana, kuna hizi ngoma zake mbili zina mashairi ya kuogyofya sana.

" Mbona ka nataka kufa, mbona ka sijielewi,"

" Maisha mafupi babe ..... - bia tamu"

Ushaidi kwamba maneno yanafanya ulitokea kwa Godzilla, one of great rap artist bongo. Kuna ngoma king zilla anasikika akisema " maisha mafupi - get high". pia Langa " maisha yenyewe mafupi mi nafanya starehe zangu"

Sasa hii iwe rai kwa watu wote maneno yanaumba.

____________

Dah huyu msanii hataki kabisa kunisikiliza, si mmesikia nyimbo yake ya Dear Ex.....
Eti bora kufa.
 
Sio issue sana maana hata Dudu Baya aliimba kifo changu na yupo anadunda tu. Kitambo sana.
 
Sio kweli kwanba wote wanaoimba kuhusu kifo hufa mapema kuna watu wameimba kuhusu kifo na bdo wapo mf. king crazy gk~ntakufaje, Diamond platnumz ~nikifa kesho na bado wanadunda.
 
Gift and curse.

Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana pale anapopanda jukwaani watu wanaimba mashairi yake mwanzo mwisho.

Sasa hatari nayoona kwa msanii wetu kipenzi ni pale anapotaja KIFO katika mashairi yake. Na nimeshasema maneno yake yana nguvu kubwa sana, kuna hizi ngoma zake mbili zina mashairi ya kuogyofya sana.

" Mbona ka nataka kufa, mbona ka sijielewi,"

" Maisha mafupi babe ..... - bia tamu"

Ushaidi kwamba maneno yanafanya ulitokea kwa Godzilla, one of great rap artist bongo. Kuna ngoma king zilla anasikika akisema " maisha mafupi - get high". pia Langa " maisha yenyewe mafupi mi nafanya starehe zangu"

Sasa hii iwe rai kwa watu wote maneno yanaumba.

Sawa sawa Mimi Mars, umeeleweka.
 
Mkuu unamaanisha hawa wasanii wasingeimba hivyo wangekuwa hai hadi leo?
 
Kwa ngoma zake kali nadhani anachokosa ni management ya maana tu kulamba mikataba ya maana,muziki siku hizi unaenda na attention.
Level aliyonayo Marioo sio yake, anapaswa kuwa juu zaidi.

Hayo mashairi ya kufa haya make sense na unachoongea.
 
Kwa kiasi kidogo nilichomsikiliza huyu bwana mdogo Marioo, naungana nawe kabisa. Ana kipaji kikubwa Sana cha kuandika mashairi na kuimba.
Naamini ana mafanikio mengi Sana mbele safari yake ya Sanaa.
 
Gift and curse.

Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana pale anapopanda jukwaani watu wanaimba mashairi yake mwanzo mwisho.

Sasa hatari nayoona kwa msanii wetu kipenzi ni pale anapotaja KIFO katika mashairi yake. Na nimeshasema maneno yake yana nguvu kubwa sana, kuna hizi ngoma zake mbili zina mashairi ya kuogyofya sana.

" Mbona ka nataka kufa, mbona ka sijielewi,"

" Maisha mafupi babe ..... - bia tamu"

Ushaidi kwamba maneno yanafanya ulitokea kwa Godzilla, one of great rap artist bongo. Kuna ngoma king zilla anasikika akisema " maisha mafupi - get high". pia Langa " maisha yenyewe mafupi mi nafanya starehe zangu"

Sasa hii iwe rai kwa watu wote maneno yanaumba.

____________

Dah huyu msanii hataki kabisa kunisikiliza, si mmesikia nyimbo yake ya Dear Ex.....
Eti bora kufa.
Hata crazy GK aliimba "nitakufaje"
 
Kuimba bia tamu ndo talent kubwa?
 
Back
Top Bottom