maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  4. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya CCM inaandaa Maridhiano na Gen-Z fake

    Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini?

    Shekh huyu amesema ni lazima Maridhiano lazima yafanyike na lazima tukubali na hapa si maridhiano ya wanasiasa ninachokisema maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini? Wanasemaje
  6. Kahangile

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya maombi kwa viongozi kufanya mazungumzo ya kuliweka pamoja taifa

    Barua ya Wazi Na: Mteule G. Kahangile Musoma, MARA TZ 10 Novemba 2025 KWA: * VIONGOZI WA SERIKALI, * VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA, * VIONGOZI WA DINI ZOTE. Ndugu Viongozi, YAH: WITO WA MARIDHIANO NA MAZUNGUMZO KWA AJILI YA TAIFA Kwa moyo wa kizalendo na nia njema ya kuona taifa letu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa? Aidha amaetaka kuhukumiwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  10. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoitwa Maridhiano Ni Uhuni wa Watawala na CCM, Maridhiano Yalistahili Kabla ya Uchaguzi

    Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wengi, kwa unafiki mkubwa, sahizi wanaimba maridhiano. Kabla ya uchaguzi, watanzania...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mnataka maridhiano ? Basi fanyeni haya

    Kwanza mseme hayo maridhiano mnataka na kina nani ? Kwa sababu hadi sasa hamjakiri kosa la kuiba kura kwa kiwango cha 98%, hamja kubali kua mmeua watanzania walioingia barabarani , mmekamata watanzania wakubwa kwa wadogo na kuwapa kesi ya Uhaini nchi nzima, lakini mmekiri kua fujo zilifanywa na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi, "aliye engineer maandamano," akataa maridhiano

    Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali. Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani?

    1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1. Wameuawa wapinzani 2. Wameuawa wana ccm 3. Wameuawa waandishi 4. Wameuawa in mass raia wa kawaida, 5...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika

    Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Viongozi wa CHADEMA muonekane kwenye Maridhiano, Uhaini una Dhamana? Wauaji wanatafuta Picha, Chama kitakufa

    Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu . Hasira ya Wananchi Iko juu sana. Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti . Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tito Magoti kuhusu Maridhiano: Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, akaridhiane na Watanzania wanaovuja damu

    "Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."- Wakili Tito Magoti akijibu hoja kuhusu kinachoitwa Maridhiano.
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

    Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha...
Back
Top Bottom