maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi, "aliye engineer maandamano," akataa maridhiano

    Mange Kimambi, ambaye serikali kupitia Mwanasheria Mkuu ilisema ame "engineer" maandamano, amekataa maridhiano kwa kauli kali. Kwa ushauri wangu, ujumbe wa serikali kuongea na Mange ujumuishe watu wenye heshma na credibility kutoka nje ya serikali. Uwe wa watu wasionuka damu. Hapo panaweza...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani?

    1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1. Wameuawa wapinzani 2. Wameuawa wana ccm 3. Wameuawa waandishi 4. Wameuawa in mass raia wa kawaida, 5...
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika

    Kufanya maridhiano na wauwaji na wezi ni kuutunuku mauwaji na wizi wa uchaguzi uliofanyika . point ni zile zile, uchaguzi bandia ufutwe, mateka wote waachiliwe, katiba mpya tukutane tarehe 9/12
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ole wenu Viongozi wa CHADEMA muonekane kwenye Maridhiano, Uhaini una Dhamana? Wauaji wanatafuta Picha, Chama kitakufa

    Hawa wacheni wakaridhiane na Tuliouliwa Ndugu zetu . Hasira ya Wananchi Iko juu sana. Yoyote atakayeonekana Kuridhiana na Wauaji huyo ni Msaliti . Narudia, Ole Ole Ole wenu !!! .
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tito Magoti kuhusu Maridhiano: Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, akaridhiane na Watanzania wanaovuja damu

    "Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."- Wakili Tito Magoti akijibu hoja kuhusu kinachoitwa Maridhiano.
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Misimamo wetu ni ule ule hatutaki maridhiano na CCM wauaji

    Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu Tundu Lissu ataachiwa J5. DPP atafuta kesi Leo wamewaachia viongozi wa Chadema bila masharti ili kuonyesha...
  9. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uwezekano wa yanayoitwa maridhiano Tanzania ya sasa ni mdogo sana?

    Ukiafuatilia kinachoitwa maridhiano utagundua uwezekano wa jambo hilo kwa Tanzania ni mdogo sana kwa sababu hakuna aliye tayari kwa hayo maridhiano. Ili maridhiano yawezekane Tanzania CCM itabidi kwanza ikubali mambo kadhaa kama sita yaliyo muhimu ambayo kwa uhakika uwezekano wa CCM kukubali ni...
  11. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Nasemaje hakuna MARIDHIANO bila UWAJIBIKAJI

    Naon CCM wameanza kulegea tayari hatuwezi kufanya maridhiano sasa hivi hii inaitwa TOO LATE MISSION tunahitaji UWAJIBIKAJI wao kwa kujiuzulu mara moja nakuanza mazungumzo baada yao kuwajibika kwa kujiuzulu.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kinachohitajikiwa ni Haki, Kinachoitwa Maridhiano ni Upuuzi Unaotakiwa Kupuuzwa

    KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha maridhiano. Tuwakatalie hawa watu wapuuzi na upuuzi wao. Watanzania hawahitaji maridhiano, bali wanahitaji...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania Maridhiano: Je, ni baina ya vyama vya siasa au baina ya madhehebu ya dini?

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake. Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais Nchimbi: Tanzania ipo salama, mazungumzo ya MARIDHIANO kuanza

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa sheria. Kauli hiyo alitoa akiwa mwakilishi wa Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya serikali kupoteza muda kufanya maridhiano na wahalifu

    Maridhiano na kina Mange, Mwamakula, Maria, Sativa, Bagonza na wahalifu wengine ni kupoteza muda. Serikali ikamate wote waliohusika na huu uhalifu uliosababisha vifo na kuwafikisha mahakamani. Serikali isipoteze muda kujadiliana na wahalifu. Mtu aliyechoma vituo vya mabasi ya mwendokasi...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napinga maridhiano na wauaji wa makusudi

    Ain’t no way. Ain’t no fcuking way! Napinga kabisa kwa nguvu zangu zote na kwa dhati kabisa kufanya maridhiano na wauaji wa makusudi. Hakuna cha kusameheana wala kuombana msamaha. As far as I’m concerned, I’m calling for an open season against the police and their CCM backers. They’re all...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa sababu waloandamana ni Wageni, asipatikane MTU yoyote kujihusianisha na kile kinachoitwa 'Maridhiano' kwakua MTU huyo Hatasamehewa Yeye na Kizazi

    Hii sio Tanzania ya 1990 !. Tanzania Mpya imezaliwa Tarehe 29/10/2025, Kinachoendelea na kitakachoendelea na Mchakato wa makuzi ya mtoto!!. Sasa , Uzi Huu ni Ushauri na Ukumbusho na Onyo Kwa wooooote wale ambao Majina yao yataoneoana kwenye Karatasi Takataka inayoitwa "Mwenyekiti ,Katibu Na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kinachowasukuma kuongelea maridhiano ni fedha za misaada na mkopo kutoka kwa wahisani

    Hii ndio sababu kuu na hamna lingine kwani hata wafadhili wanajua Tanzania hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Sioni uwezekano wa CHADEMA kutambua serikali ijayo na hata kukaa nayo meza moja. Muda utasema.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutaanzisha Tume ya Upatanishi ya Kitaifa, yenye jukumu la kuimarisha umoja, maridhiano, na mshikamano kwa Watanzania

    Maridhiano gani tena hayo ambayo hayajawai kufanikiwa? Sisi waTanzania tunataka kusikia namna ya kupambana na watekaji =================== Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa serikali ya awamu ya sita...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa Mwisho Kwa Mzee Butiku kabla ya Oktoba 29 , Waombe Radhi Watanzania mara Moja, Walokupa Uenyekiti wa Maridhiano ,Warudishie !!

    We are Coming !!... wee siulisaliti Polepole , mtoto wako alokuamini sana !!. Sasa , Polepole ataishi, ila wewe Utaulipia Usaliti huo. Unataka kujifanya wee ni Msuluhishi mzuri eehh kuzidi wasomi na Ma Prof wa Nchi hii?, Unapenda Uenyekiti ?? Uenyekiti wa malupulupu?? Sasa nakuhakikishia...
Back
Top Bottom