maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Siasa za maridhiano zimeua siasa za upinzani Zanzibar, leo hii Zanzibar ni nchi ya chama kimoja

    Mzanzibar aliyekufa mwaka 2005 alafu akafufuka leo mwaka 2025 atashangaa sana kwa hiki anachokiona leo Zanzibar hakuna tena wapinzani wakina jusa, juma duni wamekuwa hawana makali tena wamenyamazishwa sauti mbadala imenyamazishwa Leo hii Zanzibar hakuna tena siasa za upinzani kwa lugha...
  2. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Ni mpumbavu pekee tu, anayeweza kukubali Maridhiano

    Baada ya maumivu makubwa waliyoyatengeza wenyewe kwa kukusudia kabisa, umeua,umeteka,uwewapa kesi feki wakosoaji wako, umeua demokrasia ,umeiba uchaguzi wazi wazi bila aibu, amani ni matunda ya haki, kulkua na wakati wa kufanya maridhiano kabla ya uchaguzi, Baada ya kuzima intaneti, mauaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wampongeza Rais Samia kwa hatua ya Maridhiano

    Wakuu, Naona ITV wameona hii ndo habari muhimu zaidi, tena wameweza kupata uhuru wa vyombo vya habari kwenda mtaani kuhoji watu kuhusu hotuba ya Samia ya kutaka maridhiano, lakini walishindwa kuripoti habari kuhusu mauaji kama walivyofanya BBC, kwao habari muhimu ni pongezi ----------- Baadhi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Maridhiano au maviziano?

    Hili ni gumu kuliko yote. Kuna watu wameanza kumharibia Mama wakati ana uwezo wa kujiharibia. Wanazuia miili ya waliokufa isitolewe, wanazuia takwimu za waliopotea zisijulikane. Wanatisha madaktari, wauguzi, madereva, familia nk. Ili taifa lipone na kuanza kufikiria maridhiano: - Idadi ya...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Inahitaji nguvu ya kichawi na roho ya kiduwanzi sana kuweza kusamehe na kukubali maridhiano

    Wakristo wanafundishwa toba na msamaha.. Kusamehe saba mara sabini.. Kusamehe kabla jua halijakuchwa... Lakini zaidi ya yote kusamehe na kusahau! Tunakoseana mengi..! Tunasameheana mengi..! Tunasahau mengi tena na tena! Lakini Kamwe hatusamehe ya makusudi Kamwe hatusamehe ya kudhamiria Kamwe...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Aliye nyosha mkono wa maridhiano ana wazimia wengine redio wasisikike

    Wakati kuna Kiongozi moja anasema kuwa yupo tayari kunyosha mkono wa maridhiano , lakini wakati huo huo anawazimia redio wengine wasisike na kuonyesha upande wa pili wa shillingi. Sasa mtu kama huyo ni kweli anataka maridhiano au ni hadaa na ana hitaji wa kupumua kidogo
  7. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni Rais huyu huyu aliagiza uchunguzi kwa tukio la kuuawa Mzee Ali Kibao, mpaka leo uchunguzi huo haujatoka leo anaunda tume nyingine ya uchunguzi?

    Wanatakangaza amani huku wameficha mapanga.. Maridhiano which? What? Vijana which? Soka sio kijana? Mdude sio kijana? Pole pole sio kijana? Makanisa ya Gwajima hayana vijana? Maridhiano which? Kifupi hakuna nia ya dhati eti kuunda tume ya uchunguzi? Tume which? Tume what? Nani atakaa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Siku nikisikia mafwele amehukumiwa kunyongwa ndio nitaamini hayo maridhiano

    Huyu bwana aliye ua ndugu zetu wengi akihukumiwa kunyongwa nitaamini kunamaridhiano
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  12. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya CCM inaandaa Maridhiano na Gen-Z fake

    Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini?

    Shekh huyu amesema ni lazima Maridhiano lazima yafanyike na lazima tukubali na hapa si maridhiano ya wanasiasa ninachokisema maridhiano ni serikali ifanye na wananchi wake. Raia wanataka nini? Wanasemaje
  14. Kahangile

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya maombi kwa viongozi kufanya mazungumzo ya kuliweka pamoja taifa

    Barua ya Wazi Na: Mteule G. Kahangile Musoma, MARA TZ 10 Novemba 2025 KWA: * VIONGOZI WA SERIKALI, * VIONGOZI WA VYAMA VYOTE VYA SIASA, * VIONGOZI WA DINI ZOTE. Ndugu Viongozi, YAH: WITO WA MARIDHIANO NA MAZUNGUMZO KWA AJILI YA TAIFA Kwa moyo wa kizalendo na nia njema ya kuona taifa letu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa? Aidha amaetaka kuhukumiwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  18. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoitwa Maridhiano Ni Uhuni wa Watawala na CCM, Maridhiano Yalistahili Kabla ya Uchaguzi

    Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wengi, kwa unafiki mkubwa, sahizi wanaimba maridhiano. Kabla ya uchaguzi, watanzania...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mnataka maridhiano ? Basi fanyeni haya

    Kwanza mseme hayo maridhiano mnataka na kina nani ? Kwa sababu hadi sasa hamjakiri kosa la kuiba kura kwa kiwango cha 98%, hamja kubali kua mmeua watanzania walioingia barabarani , mmekamata watanzania wakubwa kwa wadogo na kuwapa kesi ya Uhaini nchi nzima, lakini mmekiri kua fujo zilifanywa na...
Back
Top Bottom