maria sarungi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  2. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 TLS yamkemea Maria Sarungi

    Je, hii taarifa kuwa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimemkemea Maria Sarungi?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maria Sarungi adai kuna mpango wa siri wa kuipa CHAUMMA asilimia 7 ya kura za Urais na viti maalum 20 ili wapate ruzuku

    Inadaiwa kuwa kuna mpango wa siri unaohusisha baadhi ya taasisi muhimu za kisiasa nchini, zikiwemo Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dawati la Siasa Ikulu na baadhi ya wanasiasa maarufu G-55, unaolenga kukipa chama cha CHAUMMA upendeleo maalum kuelekea uchaguzi mkuu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi ameandika kwenye ukurasa wake wa x kuwa Godbless Lema apokea bilioni 4 kuisambaratisha Chadema

    MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA. "🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi anaitumia CHADEMA kueneza chuki zake binafsi kwa misimamo ya kijinga na kuwaingiza chaka. Yeye sio mgombea wala mwanachama

    Popote utakapotembelea mitandaoni iwe twita au ama Instagram ya maria utagundua ndie mwanzilishi wa vuguvugu zote za chadema ! Hata wakati wa uchaguzi maria alitumia mtandao wa x kumbagaza sana freeman mbowe na kutishia waliokuwa wanamuunga mkono mbowe! Maria sarungi akiwa space amekuwa akitoa...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi asuka mipango ya chadema kuvamia mahakamani

  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Maria Sarungi amesema CHADEMA kutokusaini fomu ya maadili ndiyo anguko lao rasmi

  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema na Maria Sarungi wana agenda nyingine?

    Wanzania wa leo hawazai watoto wengi kama zamani; hasa mijini wanazaa watoto kigogo sana kati ya 2 hadi 4 tu. Hivyo, kuruhusu mtoto wao mmoja kujeruhiwa au kufa ni jambo ambalo hawataki kulisikia kabisa kwao. Lissu, Lema, na Maria Sarungi nao pia wana watoto wachache sana kila mmoja, na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Julius Mwita baada ya kung'olewa, adai Chama kinaendeshwa na Maria Sarungi kutoka Nairobi

    Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. Julius Mwita amemtaka Mwanaharakati Maria Sarungi kujitokeza hadharani na kueleza ikiwa ni mwanachama wa Chadema kwa kuonesha kadi yake ya uanachama wake ndani ya Chadema. Mwita ambaye amezungumza na wanahabari...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi na Barack Obama ni sawa na Mbingu na Ardhi?!

    Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Mengi yamesemwa tayari kuhusu Professor Sarungi na...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Wasomi wamshangaa Maria Sarungi kwa kushindwa kuja nchini kumzika baba yake

    Wakuu Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake ya kifamilia. Soma: Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atakuja kupewaga Nobel Price

    Inatupa moyo kujua kuna Watanzania wazalendo wa kweli ambao wameweka sababu za kuwa hapa Dunia. Sio Machawa ambao wanaishi akili na moyo upo kwenye matumbo Namtabiria huko mbele Maria atapewa Nobel price https://youtu.be/FaN8lS_XNX0?si=mIbPy6Vr4WLKVKIo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dada Maria Sarungi Watanzania tunajuana kwa Mambo yetu, ila hatujafikia Kuhatarishiana Usalama pale tunapopatwa na Misiba. Umekosea sana Dada..!!

    Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake. Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake “Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

    Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM. Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo? Nauliza kwa sababu hadi...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa ikisema 'Maria Sarungi aitelekeza CHADEMA na hayuko tayari kuichangia kutokana na mgawanyiko

    Wakuu nimekutana na hii taarifa mtandaoni kwenye magroup ya facebook. Je, ni ya kweli? === 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗔 𝗦𝗔𝗥𝗨𝗡𝗚𝗜 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗧𝗔𝗠𝗞𝗢 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 Mwanaharakati Maria Sarungi ameweka wazi msimamo wake kuhusu CHADEMA, akieleza kuwa kwa hivi sasa hayupo tayari kukichangia chama hicho. Ameeleza kuwa sababu kuu...
  19. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi aitabiria CHADEMA kifo

Back
Top Bottom