maria sarungi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi, Mange Kimambi na Habili vipi hamjakata tamaa kukinukisha?

    1. Maria nimekusikia vizuri kabisa juzi tarehe 11 unashauri watu wakinukishe popote pale wakipata nafasi , iwe kwenye daladala iwe mtaani halafu washuke chap wakimbie, sasa ni hivi mdada , kwa nini wewe usije utuonyeshe mfano? WEWE UMEFIWA NA BABA YAKO PROF SARUNGI UMESHINDWA KULETA MAKALIO YAKO...
  2. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi aisee wanateseka mno kwanini wamefeli?

    Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee 2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea 3. Kweli nimefurahi sana...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni Mamluki? Mpaka sasa hajatoa link wala Qr ya channel ya Zello

    October 29 pia channel link ilitolewa mwishoni kabisa na ndio maandamano yakaanza, bila kuwa na app ya kuunganisha waandamanaji ni ngumu sana watu kutoka. Sasa jana kasema watu wadownload zello ila hajaweka jina la channel ili watu wa join. Huyu ni mamluki wa mama kilaza.
  4. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi waache kuwatoa kafara vijana huku wao wakiwa wamejificha uvunguni nje ya Nchi wakiogopa kufa

    Ndugu zangu Watanzania, Acheni Unyumbu, acheni ujinga na uhayawani ,acheni ushamba,acheni umbumbumbu ,acheni kutumika vibaya kama mazuzu. Hivi mtu na akili zako Timamu kichwani na unayejitambua vizuri kabisa na mwenye utimamu wa akili na Mwili unaweza vipi kukubali kuandamanishwa barabarani na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi amemuuza Rasmi Mange Kimambi. Funguo rasmi ya udhibiti wa umma iliyoporwa Oktoba 29, inaenda kurudishwa

    Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa. Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea. Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi. Imeshafahamika, Wanapiga CURFEW Wanazima...
  6. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi je vipaumbele vya maandamano ni vipi?

    Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani? Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa shangazi Maria Sarungi: Ni makosa makubwa ya kimkakati kuitisha maandamano mengine hivi karibuni

    Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini. Nitoe pole nyingi sana kwa Watanzania waliofiwa na ndugu zao kutokana na yaliyojiri katika maadamano...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aeleza hali ya mauaji ya kutisha yaliyotokea nchini

    Huyu dada kaeleza kwa kirefu na kwa kina sana maiaji ya kutisha ya wananchi kutokama na maandamano ya kupinga uchaguzi usio huru, usio wa haki na dhulma nyingine zinazofanyika nchini hasa utekaji watu. Msikilize hapa. https://m.youtube.com/watch?v=MP6X79ezJJA&pp=QAFIAQ%3D%3D
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Maria Sarungi wapelekwe ICC

    Mange Kimambi umeua watanzania wewe ukiwa unakula burger Las vegas shame on you. Na ulaaaniwe na kizazi chako Maria Sarungi ulaaniwe na liberatus wako mmefanikiwa kupoteza damu ya watanzania na mlaaniwe na vizazi vyenu Tmejifunza na tujipanga kama nchi , wenye mamlaka rekebisheni mapungufu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mange Kimambi na Maria Sarungi mpo serious kweli?

    Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope . NAJIULIZA YAFUATAYO? 1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo...
  12. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi - XSpaces

    Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tunatokaje? Tunaona ukatili na utekaji usio na kifani nchini baada ya #OktobaTunatoka kushika kasi! Wanatuuzia woga! Sasa kama sababu tunayo, nia tunayo, uwezo tunayo - je tunatokaje? Njoo tujadili saa 2 usiku leo!
  13. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maria Space ya Oktoba 9, 2025 kuhusu utekaji

    Leo Maria Spaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Motisha na Ujasiri utatoka wapi? Utekaji umekithiri na itazidi kuongeza, watu wanasambaratishwa hata kukaa kijiweni ni shida! Je tutoa wapi motisha na kushinda hofu kuelekea Oktoba 29! Njoo toa maoni! Leo saa 2 uck
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Tetesi zinasema Polepole kusafirishwa visiwa vya Comoros

    Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake ===================== Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Wakatoliki kutoa tamko kijana anayedaiwa kuwa muislam akamatwa na mavazi ya Kipadre kwenye kampeni

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter) Mwanaharakati Maria Sarungi ameandika kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana anayedaiwa kuwa muumini wa dini ya Kiislamu akiwa amevalia mavazi ya Kipadre wa Kikatoliki kwenye kampeni. "This is very low! In Mbeya a Muslim man was caught...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi amesema CHADEMA imekufa mapema mno

    Wakuu Je, ni kweli Maria Sarungi amesema CHADEMA imekufa mapema.
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya

    Wakuu Nimekutana hii taarifa inasema kuwa Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya kuna ukweli wa hizi taarifa au ni uzushi?
  18. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maria Sarungi: Heche na Lema mmeiua CHADEMA kwa uongozi wa Mabavu

    Habari wakuu, Kama kweli ni kauli ya Maria Sarungi simuuungi mkono Naona Maria Sarungi katema cheche huku akidai Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche pmoja na Jonathan Lema kuwa uongozi wao wa Mabavu umeua CHADEMA ilhali tangu CHADEMA ikumbwe na matatizo...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025

    Jina: Al-HAJJ NOURDIN MUSHI. Ametekwa jana 05/September/2025 majira ya saa moja jioni. Imeripotiwa: RB No:- MBN/RB/2209/2025 Kituo cha polisi Mbweni. Mwenye taarifa awasiliane na namba:- 0683772862. Ndugu walimwona jana saa 11 jioni akiwa na watu waliojifanya wanataka kukodi gari...
  20. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
Back
Top Bottom