Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja.
Mbaya zaidi...
Wako nje ya Tz, mmoja ulaya, mwingine sijui kenya na familia zao zipo Safe.
Ni kivipi ww mwanaume mwenye kende mbili ukubali harakati za hawa wavaa pichu, wanaojiita wanaharakati wa mchogo na wanafiki.
Kama wanapenda nchi yao,, kwanini wasije huku Bongo na tupigane wote kama wana uchungu wa...
Wakuu
=====
Ni kweli LHRC imelaani kauli zisizo na mashiko za Maria Sarungi zenye mashiko ya uchochezi na uvunjifu wa amani? mwenye ukweli wa taarifa atupe ukweli.
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
kumekuwa na chapisho linalo samba kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook linaeleza kuwa Mwanaharakati Maria Sarungi amekamtwa na jeshi la polisi nchini kenya huku ikieleza kuwa taarifa hiyo imechapishwa na godbless Lema huku x pia chombo cha Habari cha Jambo tv kuchapisha huko X
Taarifa...
MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA
Na Nulphin Charles Heche
Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA
Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi...
26 May 2025
Oslo, Norway
WADAU WA OSLO FREEDOM FORUM
MARIA SARUNGI - "TANZANIA NI YA WANANCHI WAKE SIO YA WATAWALA WANAOWATISHA!"
Mtetezi wa haki za binadamu na mwanahabari kutoka Tanzania, Maria Sarungi Tsehai, azungumza katika Jukwaa la Uhuru la Oslo kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.