marekani

  1. Baada ya kujaribu kwa miaka 30, Korosho ya Tanzania yapata soko Marekani

    Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania kujaribu kwa miaka 30 na kugonga mwamba. Korosho hizo ni kati ya tani 50 zilizonunuliwa kutoka...
  2. Iran yaishutumu Marekani kuwa inachochea machafuko, ugaidi

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya Serikali ya Iran na kusababisha maandamano ambayo yanaendelea mpaka wakati huu. Raisi amesema...
  3. Marekani achanganyikiwa baada ya nchi za OPEC Plus kutangaza kupunguza uzalishaji wa mafuta

    Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia. Naona...
  4. M

    Ngoja tuone kama Saudi Arabia itaendeleza uthubutu iliyouashiria kwa kugomea matakwa ya Marekani

    Marekani inajiamini kuwa inaweza kuitishia nchi yoyote kama itaona kuwa inataka kufanya jambo ambalo litaathiri maslahi ya Marekani, hata kama jambo hilo ni kwa manufaa ya nchi hiyo. Hapa duniani ziko nchi ambazo zimedhihirisha uthubutu wa kuiambia marekani ikome kuingilia maamuzi yao na...
  5. Marekani yawawekea vikwazo Wataliban kwa "kukandamiza wasichana na Wanawake"

    Marekani ilitangaza vikwazo vipya Jumanne dhidi ya Taliban, kama adhabu kwa ukandamizaji wao wa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakeni Anthony Blinken alitangaza vikwazo vipya vya visa kwa wanachama wa sasa au wa zamani wa Taliban, na wengine "wanaohusika...
  6. Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine. Donald Trump amekuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa Rais Joe Biden wa Marekani. Aidha Trump na...
  7. M

    Marekani inajali maslahi yake sana lakini nchi nyingine zikijali maslahi yake inanuna!

    Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili kujengwa toka Urusi hadi ujerumani lakini likajengwa kwa mbinde!! Lilipojengwa iliishinikiza...
  8. Haitakwepeka raia wa Marekani kushuhudia madhara ya vita zinazojihusisha na taifa lao

    Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
  9. Mfahamu Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu!

    Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani. Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa...
  10. S

    Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  11. Biden atoa msamaha kwa waliokamatwa na Bangi

    Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo. Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
  12. B

    Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

    Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
  13. S

    Marekani na Korea Kusini warusha kombora kuijibu Korea Kaskazini, Korea Kaskazini yawatumia nyongeza ya makombora 2 ya balistiki

    Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
  14. M

    Ni vyema Mataifa ya Magharibi (Ulaya na Marekani) wakaacha Unafiki mara moja

    Thread was deleted
  15. Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  16. Uza bidhaa nchini Marekani ukiwa Tanzania

    IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
  17. L

    Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  18. Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

    Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari. Hii dunia...
  19. Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  20. Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…