Rapa wa Marekani Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida.
Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa sasa yuko salama na anaendelea vizuri, ingawa mamlaka bado zinaendelea kuchunguza kilichosababisha...