marekani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi hadi mwaka 2008

    Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi hatari zaidi ya ugaidi duniani. Sasa jiulize je "gaidi ni nani"? Source: "Why Nelson Mandela Was on...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi hadi mwaka 2008

    Kama ulikuwa hujui, Serikali ya Marekani ilimuweka Nelson Mandela kwenye orodha ya magaidi kuanzia mwaka 1988 wakati hadi mwaka 2008. Vilevile chama cha ANC, kiliwekwa kwenye orodha ya makundi hatari zaidi ya ugaidi duniani. Sasa jiulize je "gaidi ni nani"? Source: "Why Nelson Mandela Was on...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea tena vikwazo Kampuni zilizohusika kujenga Bomba la gesi la NordsStream 2

    Marekani imetangaza vikwazo kwa kampuni mbalimbali zilizohusika kwenye ujenzi wa bomba la gesi la Nordstream 2 lililokuwa likisafirisha gesi kutoka Urusi kwenda Ulaya magharibi kabla ya kulipuliwa mwaka 2022. Hii si mara ya kwanza kwa Marekani kuziwekea vikwazo kampuni zilizohusika kujenga bomba...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Trump kwa nchi washirika wake wa kibiashara huenda ukaifanya Marekani iishie kujipiga risasi yenyewe mguuni

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika wake wa kibiashara kwa kutoa vitisho kwa nchi mbalimbali duniani, huku akitilia mkazo sera ya...
  7. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  8. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kujitenga (au kuwa sawa) na Wanyonyaji kutoka Ulaya na Marekani ni kufuata nyayo za China au Urusi

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mnaofurahia kuporomoka kwa Dolla ya Marekani hamjui mchezo wa thamani ya fedha na ni nani anayechezesha mchezo huo.

    Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe! Kuna wakati nchi inaamua...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani inahaha kutaka Syria isitawalike.Nawashauri wanasyria waachane na mfumo wa vyama vingi.Wajitungie mfumo wao kuepusha kurudia kwenye machafuko

    Huku jeshi la Israel likiendelea kujichukulia maeneo ya Syria bila kukemewa na mshirika wake,Marekani.Antnthony Blinken tangu waasi wamuangushe Bashar Alassad amekuwa halali,anazunguka kama pia akitua kila nchi kushauri utawala mpya wa Syria uwe wa kuunganisha makabila na vyama vyote. Ushauri...
  11. Kinyayo

    JamiiForums Tanzania ELON MUSK TRILIONEA AJAE MAREKANI US 🇺🇸

    wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu! Dg zangu. Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa ndiye tajiri wa kwanza kwa bara hilo lenye idadi kubwa ya mabilionea wenye ukwasi wa kutisha...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua Mkurugenzi wa Bima Marekani akamatwa, agoma kurudishwa alikokimbia

    Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia. Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia. Wakimlazimisha kumzoa kwa...
  13. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo bank ninunue Dola ya marekani

    Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola. Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375 Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko. Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei: Tuna ushahidi kuwa Marekani, Israel na Uturuki walihusika katika kumuondoa Assad madarakani

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar al-Assad wa Syria Kauli hii ya Khamenei inakuja siku chache baada ya Rais Bashar al-Assad wa Syria...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine Trump akataa kulipwa mshahara wa Urais, Ataugawa kwa wenye uhitaji

    Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo. Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "plea bargaining" itoe mwanga Marekani inaweza kufanya nini kuhusu waasi magaidi wa Syria

    Kwenye mifumo mingi ya sheria ya Magharibi kuna kitu kinaitwa "Plea Bargaining" . Kwenye huu mfumo ni kwamba muendesha mashitaka anatengeneza dili kwa mshitakiwa kushirikiana naye kumpa taarifa muhimu kwa ajili ya kufanikisha lengo kubwa zaidi kwa faida ya mshitakiwa kupungiziwa adhabu...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

    Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea. Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia? Kama Russia kwa maslahi gani na kama pia na Marekani, pia ni Kwa maslahi gani?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Syria wakati kamanda mkuu wa mapinduzi na viongozi wenzake wanatambulika na Marekani kama magaidi

    % kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini bado wamo na wanamatawi yao km IS nk. Je US atakuwa tayari kufanya kazi na MAGAIDI wakati kwake...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Marekani chawatuza watano Tanzania

    MWISHONI mwa wiki, Tanzania ilipokea heshima ya aina yake kwa watanzania watano waliotunukiwa udaktari wa heshima ya Chuo Kikuu cha Read Impact kilichopo Colorado nchini Marekani. Tukio hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Tanganyika 2 ulioko kwenye Hoteli ya Land Mark, Ubungo jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom