Habari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe.
Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo sana.
Nilimaliza, na nilikuwa na wenzangu.
Wenzangu walipenda sana kuendelea kuishi huko na walikuwa...