marekani

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

    Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
  2. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi helcopter ilivyoanguka huko Marekani na kuua watu 6

    Helikopta ya watalii iliyokuwa imebeba familia kutoka Hispania ilianguka katika Mto Hudson jijini New York, na kuua watu sita wakiwemo watoto watatu. Kwa mujibu wa maafisa waliotoa taarifa kwa waandishi wa habari, helikopta hiyo ya New York Helicopters ilikuwa imekodishwa na ilikuwa na rubani...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rasmi; Iran yasalimu amri kwa Marekani, yakubali mazungumzo huko Oman

    Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
  5. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania China imepandisha 125% kwa bidhaa zinazotoka marekani , pia imesimamisha kuuza madini adimu kwa utengenezaji wa ndege vita

    Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo. Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90.. Leo china ametangaza...
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

    Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
  8. X

    JamiiForums Tanzania China yaongeza ushuru kwa bidhaa za Marekani kutoka 84% kufikia 125%

    Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40% Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125% Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
  9. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani

    Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
  10. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Trump anaipambania Marekani kwa faida ya kina nani, mbona hata Ibrahim Traore anaonekana kumshinda uzalendo?!

    Niaje wakuu Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani? 1. Nchi? 2. Wananchi 3. Au yeye na genge lake? Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Hazina wa Marekani, Summers, asema huenda Marekani inaelekea kwenye "mgogoro mkubwa wa kifedha."

    JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis." https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
  13. Mi mi

    JamiiForums Tanzania China yatangaza nyongeza ya asilimia 84% ya ushuru kwa bidhaa za Marekani

    Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru. BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya China yaagiza benki zinazomilikiwa na serikali kupunguza ununuzi wa dola za Kimarekani

    Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru. JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kijana aliehukumiwa kifo kwa kushiriki katika mapinduzi yaliyoshindwa huko Congo amehamishwa yeye na wenzake kwenda Marekani.

    Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
  16. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wafanyakazi wa Marekani wakifanya kazi katika viwanda vilivyorejeshwa na tarrifs

    Wakuu, Nimekutana na uzi huu International Forum, unaodai wafanyakazi wa marekani wakifanya kazi katika viwanda vilivyorejeshwa baada ya Tarrifs za Rais Trump. Je kuna ukweli gani? Video ni ya kweli? Pia, je, ni kweli kazi hizo zinazoonekana videoni zimerejeshwa kama effects za Tarrifs? Saidia.
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Huko Yemen magaidi wa Ki-houthi wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani

    Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema “ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa FBI atangaza kuanza kushughulika na Wachina na ushawashi wao Marekani

    Adai ushawashi wao Marekani umekuwa na uharibifu kwa miaka mingi, ataanza na wale wanaomiliki mashamba na sekta ya chakula.
  19. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza ushuru wa asilimia 104% kwa China

    Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne. Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Soko la hisa China lashuka vibaya tangu 2008, Trump achochea kwa kuongeza ushuru baada ya China kukaidi kufuta ushuru, China yalalamika Bullying

    📅 Kabla ya Aprili 2, 2025 Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 % 📅 Aprili 2, 2025 Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani 📅...
Back
Top Bottom