marekani

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON: Mataifa zaidi ya 50 yamesema yapo tayari kuondoa vikwazo kwa bidhaa za Marekani

    Mataifa zaidi ya 50 duniani yamesema yapo tayari kujadiliana na Marekani juu ya kuondoa vikwazo vya kibiashara kwa bidhaa za Marekani zinazoingizwa katika mataifa hayo. Hii inakuja baada ya Marekani kuongeza ushuru wa asilimia kadhaa kwenye bidhaa zinazouzwa nchini Marekani kutoka mataifa yote...
  3. L

    JamiiForums Tanzania China yaitikia vita ya ushuru ya Marekani ili kutetea haki

    Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania NBA Special Thread: Ligi ya Mpira Wa Kikapu Ya Marekani

    NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL). Timu za NBA zimegawanyika mara mbili katika Eastern Conference na Western Conference. Katika msimu wa...
  5. Tango73

    JamiiForums Tanzania Tariff na deportation ni ukamilisho wa ufunuo wa yohana

    Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa...
  6. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

    Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao...
  7. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Marekani kuishambulia Iran ndo utakua mwisho wa taifa hilo!!

    Hivi hamjui kuwa current situation ni kwamba muda wowote US na Israel wanaenda kuishambulia Iran kijeshi? Mpango uliopo mezani ni kutumia silaha za nyuklia zilizorutubishwa na urani chache kwa ajili ya kuvilenga vituo vya Nyuklia na jeshi la Iran Kwa maana wanaona sasahivi ndo wakati muafaka...
  8. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  9. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Vita gharama Marekani imetumia $Bilion 1 kuanzia March kushambulia jangwani

    Wamarekani wameanza kutoa mlio baada Jeshi lao kutumia Dola billion 1 kushambulia mawe jangwani huko Yemen na kusema hasara tupu hamna lengo lolote lililofikiwa NEW: 🇺🇸🇾🇪 The U.S. has spent over $1 billion bombing Yemen in the name of Israel since March 15 - CNN Hundreds of millions were spent...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Marekani na canada waungana na saudia na india

    Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya unayopaswa kujua Brazil imetangaza kusitisha rasmi safari za bila visa kwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwa...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebano yasema imeshaujua ujanja wa Marekani na Israel.Hawataki kuletewa fujo nchini mwao.

    Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na Israel na pili ni kuwanyang'anya silaha kundi la wapiganaji wa Hizbullah. Viongozi hao wamelalamika...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Obama amchana Trump: 'Fikiria Kama mimi ningefanya yote haya!'

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ameonya dhidi ya mwenendo wa kisiasa wa Donald Trump, akisema kuwa hatua kama kusitisha vibali vya usalama na kufuta mikataba kwa kampuni zinazohusishwa na wapinzani wa kisiasa ni kinyume na maadili ya kidemokrasia. Akizungumza katika Chuo cha Hamilton...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiona namna Majaji wanavyomnyoosha Trump Marekani alafu ukiwaangalia Majaji wetu wanavyowalamba miguu CCM unasema tu tupate Katiba Mpya

    Katika sehemu za Watu Wanaojielewa Duniani Mhimili wa Mahakama ndo Kimbilio la Haki kwa Wananchi Wote Mhimili wa Mahakama ndo Chombo cha kuhakikisha Mamlaka ya Dola (Executive) na Bunge hayakinzani na Sheria pamoja na Haki. Mhimili wa Mahakama ndo chombo kinachopaswa kuhakikisha mamlaka ya...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ili uhamie Marekani utalipia Tsh Billioni 13.3

    Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza na kuionesha rasmi kadi ya gold (Gold Card au Trump Card) yenye sura ya Trump ambayo itagharimu USD milioni 5 (Tsh. bilioni 13.375) ambapo Mtu atakayenunua atapata fursa ya kuwa na makazi ya kudumu nchini Marekani kama ilivyo kwa Watu wenye green card...
  17. ITR

    JamiiForums Tanzania Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Trump ameshare video ya shambulio la mlipuko kutoka kwa jeshi lake dhidi Wahouthis waliokuwa katika mkusanyiko huko Yemen

  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
Back
Top Bottom