marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mazungumzo ya kibiashara kati ya China na Marekani yaleta utulivu kwa uchumi wa dunia

    Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya ulinzi yawekwa kati ya Marekani na Qatar

    Rais Donald Trump na Emir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani walitia saini mikataba mikuu ya ulinzi na kiuchumi inayolenga kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Qatar na kuimarisha uhusiano wa Marekani na Qatar. Qatar itanunua ndege nane zisizo na rubani za MQ-9B Reaper kwa karibu dola bilioni 2...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

    CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19 Leo hii Rais wa marekani kakutana na gaidi la magaidi lililokuwa linatafutwa tutegemee Trump kulamba...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ziara za mwanzo za Trump awamu ya pili kuzitembelea nchi za ghuba ni dalili za kuishiwa kwa Marekani

    Ziara za mwanzo kubwa za raisi Trump katika kipindi chake cha pili cha uraisi imekuwa ni nchi tatu za ghuba zenye uchumi mkubwa duniani na rasilimali za kutosha za nishati.Nchi hizo ni Saudi Arabia,Qattar na Umoja wa Falme za kiarabu. Pamoja na mambo mengine lakini malengo makuu ya ziara hizo...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye China imeshinda vita vya ushuru dhidi ya Marekani. Mkutano uliofanyika Geneva kati ya mataifa hayo mawili lilikuwa ni ombi la Marekani

    “All imperialists are nothing but paper tigers.” - Mao Zedong Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu. Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu. Siku hiyo kwa tambo na...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani

    Pichani ni wanadada Lacho na Temwa Chawinga, Mabinti wanaocheza Soka la kulipwa katika timu za wanawake nchini Marekani Lacho ni raia wa Zambia wakati Chawinga ni raia wa Malawi Ukipata mwanamke kama huyu utamuoa?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Marekani kuipuuza Afrika kunatoa msukumo wa ushirikiano na umoja zaidi

    Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi dhidi ya biashara huria duniani, Afrika iko ni mmoja wa wahanga. Na sasa Rais Donald Trump wa Marekani amefungua medani ya kidiplomasia tena ambapo serikali yake inalenga balozi mbalimbali duniani kwa kile alichokiita Donald Trump kuitikisa sera ya...
  8. Daby

    JamiiForums Tanzania Kundi la kwanza la makaburu wa Afrika Kusini limeanza safari ya kuelekea Marekani kama walivyoahidiwa na Donald Trump

    Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani. Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuongoza ugawaji misaada Gaza ikiitaka Israel isisogelee karibu.Hamas na UN wanawasi wasi na mpango huo.

    Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha. Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yasitisha ufadhili wa siku zijazo kwa UNFPA

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia afya ya uzazi na jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kukata ufadhili wake wa baadaye kwa shirika hilo. Hatua hii itasitisha msaada muhimu kwa mamilioni ya watu walioko katika mazingira ya migogoro, na kwa wakunga wanaookoa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Marekani akifanya utoto bungeni.

    Bunge la Marekani limekuwa kama chumba cha maigizo siku za hivi karibuni, watu wanafanya ujinga ujinga tu huko kama wa kwenye shitholes
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

    Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane. Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoza ushuru kwa filamu za nje zinazooneshwa nchini humo

    Rais Donald Trump wa Marekani hivi karibuni ametangaza mpango wa kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa filamu zinazotengenezwa katika nchi za kigeni na kuoneshwa nchini Marekani. Hatua hii ni sehemu ya juhudi zake kuimarisha biashara ya ndani na kukabiliana na kile alichokiita “kufa kwa kasi” kwa...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Papa Kutoka Marekani inawezekana isiwe habari nzuri sana kwa CCM

    Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania. CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Sasa.kazi kwenu kushoto Trump kulia Papa Leo Samia ana bahati.mbaya sana. Nawakumbusha tu...
  15. Mr Why

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya

    Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Oman yasema kuwa imesuluhisha mgogoro baina ya Wahouthi na Marekani-Marekani

    Huku Donald Trump akitamba kuwa Wahouthi wamegwaya na wameufyata, kumbe hiyo ni kauli ya kujitoa kimasomaso ya mkubwa (face saving) baada ya mazungumzo ya nyuma ya pazia ya pande hizo mbili. Oman imejitokeza na kusema kuwa yenyewe ndiyo iliyokuwa msuluhishi baina ya pande hizo mbili behind the...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani

    Wanaukumbi. Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani. Akizungumza na Al Jazeera, Dhaifallah Al-Shami, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansar Allah, alisema kuwa iwapo kutasitishwa, itatumika tu kwa shabaha ya meli za Marekani, huku kulengwa kwa meli za Israel...
  18. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Houthis waitarifu Marekani kuwa hawatashambulia tena

    Rais wa Marekani kasema kuwa Viongozi wa Houthis wamewasiliana na Viongozi wa Marekani na kusema kuwa hawatashambulia meli wala Israel. Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja wa Ndege, Vituo zalishi vya umeme viwanda vya cement.
  19. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania "Magharibi Wamechoka: Uingereza Hoi, Marekani Analia, China Anacheka – Mchezo wa Dunia Unabadilika"

    Wakati Gaza inageuzwa kifusi na Ukraine akiombewa dua tu, dunia inatambua ukweli mmoja mchungu: Myahudi si mtu wa kuchezewa – ni gaidi wa kisheria na mafia wa kisiasa. Lakini yote haya hayawezi kueleweka vizuri bila kumuangalia mlinzi wake mkuu – Marekani. 1. Kwa Nini Marekani Anamlinda...
  20. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Marekani lazidi kupanda

    If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt (2023): ~$31.4 trillion • Debt-to-GDP Ratio: ~123% (2023). 2. Japan • GDP (2023, nominal): ~$4.2...
Back
Top Bottom