Ikumbukwe kuwa baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuiambia Iran kuwa itapigwa kipigo cha mbwa koko kama haitakubali mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani. Mara moja Rais wa Iran alitoka hadharani kupinga wito huo baada ya siku moja kiongozi wa Mapinduzi wa Iran Ayatollah Khamanei naye Ali...
Marekani imeshikwa pabaya. Kwa sasa ukitaka simu ya Iphone ndani ya Marekani utainunua kwa Dola ya kimarekani isyopungua 3500 tofauti na Dola 1700 mpaka 1800 hapo mwanzo.
Hii ni kwa sababu china ndio mtengenezaji mkubwa wa simu za iphone duniani kwa asilimia zaidi ya 90..
Leo china ametangaza...
Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika.
Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa.
Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
Vita inayoendelea ya kupandishiana ushuru kati ya Marekani na China (ongeza niongeze) imekula kwa China, wamejipiga pini kwa kuona ni sifa kubwa kusifiwa sio waoga lakini Marekani inazidi kufurahia hii vita, Marekani wapo tayari hata kufikia hatua ya kuongeza ushuru wa China kuwa asilimia 400...
Wizara ya Biashara ya China, leo imetangaza rasmi kuwa China imeongeza ushuru kwa bidhaa zote za Marekani kwa 40%
Sasa ushuru utapanda kutoka 85% kufikia 125%
Wakati hayo yakiendelea waziri mkuu wa Spain yupo China kwa ajili ya kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kati ya mataifa...
Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
Niaje wakuu
Leo ningependa kujua haya anayoyafanya Trump sasa ivi hapa duniani na nchini kwake kwa ujumla anayafanya kwa faida ya nani?
1. Nchi?
2. Wananchi
3. Au yeye na genge lake?
Nauliza hivi kwa sababu toka amekamata wahamiaji, na kuwarudisha kwao kwa nguvu hakuna mabadiliko yoyote ya...
Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi.
Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
JUST IN: 🇺🇸 Former Treasury Secretary Summers says US might be headed for a "serious financial crisis."
https://x.com/WatcherGuru/status/1909929351207940320?t=aqkE5sHJW7RJL35lYk_xtg&s=19
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
Ni muendelezo wa ngumi za hapa na pale kati ya Marekani na China zinazo shika kasi kwa sasa hasa upande wa vita vya nyongeza za ushuru.
JUST IN: 🇨🇳 🇺🇸 China Central Bank asks state-owned banks to reduce US dollar purchases...
Huyo dogo mwenye asili ya Marekani na Congo kwa kushirikiana na baba yake walijaribu kufanya coup ila ilishindikana kupelekea baba kuuawa na yeye kukamatwa akiwa katika harakati za kutoroka.
Wakuu,
Nimekutana na uzi huu International Forum, unaodai wafanyakazi wa marekani wakifanya kazi katika viwanda vilivyorejeshwa baada ya Tarrifs za Rais Trump.
Je kuna ukweli gani? Video ni ya kweli? Pia, je, ni kweli kazi hizo zinazoonekana videoni zimerejeshwa kama effects za Tarrifs?
Saidia.
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne.
Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika...
📅 Kabla ya Aprili 2, 2025
Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 %
📅 Aprili 2, 2025
Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani
📅...
Baadhi ya wanamgambo wa Iraq wanaoungwa mkono na Iran wako tayari kusalimisha silaha chini ya shinikizo la Marekani - Reuters.
Vikundi vya wanamgambo nchini Iraq vimejiandaa kusalimisha silaha zao kwa mara ya kwanza ili kuepusha tishio la kuongezeka kwa mzozo na Marekani, kulingana na makamanda...
Hakuna Watu rahisi kuwagombanisha kama Wavaa Kobazi.
Je unajua Iran Taifa la kiislam Lina ugomvi mkubwa wa maji na mpaka na Taliban.
Katika Hali isiyotarajiwa Taliban yapendekeza Marekani ifungue upya kambi ya Jeshi Afghanistan
https://x.com/sentdefender/status/1909464893146755377
Note: zile...
Habari ambazo hazijathibitishwa zinaeleza kuwa Marekani imerudi nchini Afghanstan kwenye kambi ya Baghram baada ya kufanya makubaliano na Taliban. Hayo yameonekana baada ya Marekani kuwaachilia na kuwaondoa katika list ya magaidi sehemu ya viongozi wa Taliban.
Pia imeonekana hivyo baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.