Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,735
Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt, aliyezungumza Jumanne.
Awali, China ilikuwa tayari inakabiliwa na ongezeko la asilimia 34 katika ushuru kuanzia Jumatano kama sehemu ya mpango wa Trump wa "ushuru wa kisasi."
Hata hivyo, rais ameongeza asilimia nyingine 50 baada ya Beijing kushindwa kufuta ahadi yake ya kuweka ushuru wa asilimia 34 kwa bidhaa kutoka Marekani kufikia saa sita mchana Jumanne – hatua ambayo imeongeza ushuru wa jumla hadi asilimia 84 zaidi.
Mapema Jumanne, Wizara ya Biashara ya China ilisema inapinga vikali ushuru huo wa ziada wa asilimia 50 dhidi ya bidhaa zake, ikielezea hatua hiyo kama “kosa juu ya kosa.” Wizara hiyo iliahidi kulipiza kisasi kwa kiwango kikubwa zaidi dhidi ya bidhaa kutoka Marekani.
President Donald Trump is set to impose an astounding 104% in levies across all Chinese imports on Wednesday, White House Press Secretary Karoline Leavitt announced on Tuesday. This comes on top of Chinese tariffs that were in place prior to Trump’s second term.
China was already set to see tariffs increase by 34% on Wednesday as part of Trump’s “reciprocal” tariffs package. But the president tacked on another 50% after Beijing didn’t back off on its promise to impose 34% retaliatory tariffs on US goods by noon Tuesday, adding an additional 84% in duties.
Earlier Tuesday, China’s Commerce Ministry said it “firmly opposes” the additional 50% tariffs on Chinese imports, calling it “a mistake upon a mistake.” The ministry vowed to escalate its retaliation on US exports.
Source: CNN