CHINA imechukulia vikwazo vya MAREKANI Kama fursa tukio linalotueleza kuwa MAREKANI ALIKOSEA kuchanga karata zake na ushuru wake wa asilimia Zaid ya 230 kwenye bidhaa za uchina.
Kitu Dunia haikujua ni kwamba Kuna bidhaa nyingi Sana za kimarekani Hasa zile za mavazi na kielectronic huwa...
Soma hii habari ya Al-jazeera. Wanafunzi wanafutiwa visa, kukamatwa na wengine kurudishwa makwao kisa kuandamana kupinga mauaji huko Palestina. Hii sio sawa.
===========
Mamia ya wanafunzi na wahitimu wapya wamefunguliwa mashitaka na pia kuondolewa visa zao na maafisa wa uhamiaji tangu Rais wa...
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu wanaowahisi ni wahamiaji haramu na kuwashikilia kizuizini!
Masikini US, kumekuwa kama utawala wa manyani!
Mabomu makubwa kuliko yote yanayomilikiwa na jeshi la Marekani kabla ya yale ya nyuklia ni aina ya GBU-57/B Massive Ordnance Penetrator (MOP).
Baadhi ya maafisa wa jeshi la Marekani wamethibitisha kuwa mabomu hayo yameshatumika mara kadhaa dhidi ya Houth tangu mwaka jana baada ya kutumwa kwa...
Naomba tujadili hii maada kwa kirefu.
Mada yetu: Hivi waChina wanaobishana na Marekani ndio hawa wanaofanya uwinga Kariakoo?
Katika medani ya kimataifa, China na Marekani hushindana vikali kiuchumi na kiteknolojia, kila taifa likitaka kuwa kinara wa dunia. Vita hii ya kiuchumi mara nyingi...
Mashirika mengi ya kusafirisha mizigo yameanza kukatisha kuagiza na kupokea mizigo Marekani .
Bandari ya Long Beach huko kusini ya California imesema kuendelea kwa vita vya kibiashara kutaiangusha bandari hiyo na hivyo kulazimika kuachisha kazi maelfu ya waajiriwa wa eneo hilo.
Cargo ship...
Harvard mara zote ilikuwa ishara ya ukuu. Sasa hivi chuo hicho ni aibu tupu imekuwa sehemu ya wapiga propaganda
Mwanafunzi wa chuo cha Harvard sasa hivi haiwezi kupata ujasiri wa kusimama dhidi ya chuki dhidi ya Wayahudi, unawezaje kuamini kwamba chuo hicho kitatoa watu wenye akili pevu?
Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani.
Balozi hizo nyingi zipo barani Ulaya na Afrika.Baadhi ya balozi hizo za Ulaya ni pamoja na Ufaransa na Ujerumani miongoni...
Nadhani Tanzania tuko kwenye tariff ya 10%
Ningependa kujua tunauza nini huko Marekani
Juzikati niliwaona Mabilionea wa Kanda ya Nyasa Sugu na Mungai wakiwa kwenye maduka yao huko Texas lakini sijajua kama wanauza nini
Mlale unono
Haya nimeyakuta kwenye page ya Maduskodusko Entertainment huko TikTok kupitia Wimbo wa kiingereza unaoitwa " GODDESS LIL KIM",
Ushahidi wa You Tube huu hapa:
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://youtube.com/watch?v=JBqm8b0LW_U&si=tH3OifHQsXzJAdEj
Mwimbaji anasema : 👇👇👇
👉 Kwenye kitabu kinacho itwa "...
Inasemwa kwamba asilimia kubwa ya raia wa Marekani hasa rednecks ni watupu sana kuhusiana na mambo ya nje ya taifa lao. Kwa hapa bongo wazungu wa aina hiyo, Ni kama wanafunzi wa wanaosoma shule ya msingi ya kijijini, sekondari ya kata, chuo cha kata na kuishia kufanya kazi maisha yao yote kwenye...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014.
Serikali ya...
Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.