marekani

  1. Deni la Taifa la Marekani lazidi kupanda

    If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt (2023): ~$31.4 trillion • Debt-to-GDP Ratio: ~123% (2023). 2. Japan • GDP (2023, nominal): ~$4.2...
  2. Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  3. L

    Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani

    Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani vp matokeo yenu , je Kuna aliebahatika ili mtupe hamasa na sisi ndugu zenu tujaribu bahati
  4. Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu!

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  5. Usikurupuke Kuja Marekani Kama Huna Ramani – Hii Game Ni Ya Waso Ramani Tu

    listen up my G! Hii message ni kwa wale mnaota Marekani ni heaven ya kupiga picha na kupost kwa filter. Let me tell y’all the realest sh*t – DON’T come to America kama huna plan, kama huna hustle ya maana, kama huna connection ya mtu wa ukweli. Huku siyo Disneyland, bro – ni concrete jungle...
  6. N

    Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

    Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism...
  7. Ulaya na Marekani Amkeni mmeshavamiwa tayari!!!

    Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa. WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
  8. Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  9. Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi. Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
  10. Baada ya ndege za India kupigwa ban kuruka anga ya Pakistani, hatimaye kutoka India hadi Marekani ni masaa 19 badala ya 14

    Hivi karibuni kama mlikuwa mnafuatilia habari za kidunia, kulikuwa na mgogoro baina ya India na pakistan. Mgogoro huu umepelekea serikali ya Pakistan kupiga marufuku ndege za abiria za india kuruka kupitia anga yake zinazoelekea marekani. Awali ndege za shirika la ndege la air India...
  11. Kwa trend ya gharama za hospitali binafsi za Tanzania ikiendelea hivi tutawakaribia marekani ilihali sisi ni nchi maskini

    Mwaka jana kuna mtu kaenda kujifungua hospitali binafsi sitaitaja jina ila gharama zinawezafika hadi million 20 kuna mda unajiuliza tunaelekea wapi mbona wamepewa uhuru mkubwa sana Kumbuka hata marekani walianza hivi hivi sahivi ni kilio kwenye gharama za afya maelezo mengine yapo kwenye video
  12. J

    David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  13. PreGE2025 Wanachuo na Wakufunzi kutoka Marekani waitembelea CCM kupata ufahamu juu ya masuala ya Demokrasia na Sera

    Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdalla Hamid Pamoja na mambo mengine, Wanachuo hao wanaosoma...
  14. X

    Kimeumana huko Marekani kati ya White House na Amazon. Chanzo ni vita vya ushuru kati ya Marekani na China

    Baada ya Trump kupandisha ushuru kwa bidhaa za mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China sasa Wamarekani wameanza kujionea kupanda kwa gharama za bidhaa. Amazon moja ya wauzaji wakubwa wa bidhaa za kutoka China wamekuja na hii idea ili wajisafishe mbele ya wateja wao wasionekane wabaya lakini...
  15. Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  16. Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  17. Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

    Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
  18. R

    Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  19. L

    Jakaya Mrisho Kikwete Yupo Nchini Marekani Kutoa Mafunzo ya Uongozi Kwa Mawaziri wote wa Fedha na Mipango kutoka Nchi zote zinazoendelea Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma hapo chini habari hii ili uelewe ni namna gani CCM imekuwa ikitoa na kupika viongozi bora na makini ambao wanakuja kuwa Daraja la matumaini Duniani Kwote. Ukiona CCM imekuletea kiongozi ngazi ya Urais ili umchague katika sanduku la kura. Basi ni lazima ujue...
  20. Trump asema Netanyahu hataweza kuikokota Marekani kupigana na Iran

    Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa ! Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…