Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,000
- 7,618
Ugaidi wa Jihadi nchini Marekani
Huko New York, magaidi waliandaa mkesha wa kuwaombolezea viongozi wao ambao waliangamizwa wakati wa vita na Israeli na katika operesheni mbalimbali zilizopita. Bendera za vikosi vya Hamas Al-Qassam, Saraya Al-Quds, Hezbollah, Houthis na zaidi zilikuwepo kwenye mkesha huo wa ugaidi. Na Marekani nao hata tu kustuka hawashtuki wanafikiri na waarabu wanajua haki za binadamu kama wao!!!