marekani

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wanachofanya Rwanda Mashariki mwa DRC ni kinyume na makubaliano yaliyosainiwa na Rais Trump. Tutachukua hatua!

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, amesema kuwa vitendo wanavyofanya Rwanda katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ukiukwaji wa wazi wa Makubaliano ya Washington yaliyosainiwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Kupitia ujumbe wake, Rubio alisisitiza kuwa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kwenda kutalii Marekani watalazimika kutoa Historia ya Mitandao yao ya kijamii ya miaka 5

    Watalii kutoka nchi kadhaa huenda wakalazimika kutoa historia ya matumizi ya mitandao ya kijamii ya miaka mitano ili kuingia Marekani, kulingana na pendekezo jipya. Sheria hiyo ingewahusu wasafiri kutoka mataifa yanayoruhusiwa kuingia kwa siku 90 bila visa, mradi wanatumia mfumo wa ESTA...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru Marekani kwa kusimama na Watanganyika. Iwapendeze tu mfanye Military Intervention kuwakomboa Watanganyika

    Appreciation Post kwa Marekani. Kusema ukweli Watanganyika tunatawaliwa kwa nguvu na CCM. Imefika wakati sasa maisha yetu yako mikononi mwa CCM na sio Mungu tena. Wanatuteka, Wanatuua, Wanatufungulia kesi za Uongo, Wanatushikiria kwenye Magereza na vituo vya polisi bila kuwepo na kesi dhidi...
  4. Miti7

    JamiiForums Tanzania Marekani waionya ICC juu ya Rais wao Trump

    Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, kuachana na mipango yoyote ya kumchunguza na hata kumshtaki Rais Trump na maafisa wa utawala wake pale watakapomaliza muda wao mwaka 2029. Utawala wa Trump umeitaka mahakama ya ICC kufanya...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Breaknews: China imekataa kupokea chips za NVidia toka Marekani

    China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo inatuhumu China kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kwa madhumuni ya ujasusi na matumizi ya kijeshi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

    Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujaribu kuwahonga Madini na Maliasili. Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la Senate Marekani yazidi kumkalia kooni Samia

    Juzi bibi wa Kizanzibari baada ya kuonana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini alitoa press ya Ikulu kujaribu kuwatongoza Marekani kuwa atawapa madini ili wamkalie kimya kuhusu mauaji aliyofanya kwa Watanganyika. Leo Kamati ya Bunge la Senate la Marekani wamezidi kupiga kichwani. Wamezidi...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

    Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe. DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  11. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiamini ila hawa ni viongozi wakubwa Afrika katika benchi wakiwa Marekani

  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ICC wakitoa Arrest Warrant ya Samia na wenzake tutawaomba Marekani na EU waombe Baraza la Usalama UN likubali kuundwa Taskforce kufanya ukamataji

    Hili lilishawahi kufanyika huko nyuma wakati Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Yugoslavia ilipotoa amri za kuwakamata Washtakiwa waliohusika na Mauaji ya Kimbari kwenye vita ya Yugoslavia. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuanzishwa kwa Taskforce ya kijeshi ambayo ilifanya kazi...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yasaini mkataba wa msaada wa afya na Kenya

    Marekani imesaini mkataba wa msaada wa afya wa dola bilioni 2.5 na Kenya, ambao ni mkataba wa kwanza wa aina hiyo wa pande mbili baada ya Rais Donald Trump kulivunja shirika la misaada la Marekani - USAID. Chini ya makubaliano hayo, Marekani itaipa Kenya dola bilioni 1.6 katika kipindi cha...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu ya Marekani Kutathimin Uhusiano na TZ ni "Ukandamizaji wa Uhuru wa Kuabudu/Shughuli za Kidini Kwa Wakristo"

    Mwambieni Samia, Marekan inaposema Ukandamizaji wa KIDINI , Huwa inazungumzia UKRISTO. Na Kwa Nchi yetu, Mkristo pekee anayesumbuliwa na Serikali Kila Kukicha ni CATHOLIC . Sambamba na Kanisa la Ufufuo na Uzima, ila CATHOLIC Hawa ndio wamefanya Marekani àzungumzie hivo. Marekani na Ulaya...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

    GT Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo. Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania. Mauaji. Utekaji na utesaji...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tunaomba Jeshi la Marekani lije kulinda Waandamanaji Desemba 9 kuepuka mauaji mengine ya halaiki

    Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa tunawasiliaha maombi rasmi kwa Rais Trump atume jeshi lake lije kulinda Waandamanaji tunaotarajiwa kuandamana...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Minnesota Mji Uliojaa Wasomali, Kiasi cha kuhatarisha Usalama wa Marekani, Trump Awapelekea Moto

    Kwa sasa kuna mvutano mkubwa Minnesota kati ya jamii ya Wasomali (ambayo ni karibu 80,000 wenye asili ya Kisomali) na serikali ya shirikisho na ya jimbo. Hii imetokana na madai madhubuti ya udanganyifu mkubwa wa fedha za umma pamoja na hatua za Rais Donald Trump kuongeza ukaguzi wa uhamiaji na...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Marekani na EU wakitaka kumuondoa Rais yeyote wa 'Third World Countries' hawashindwi

    Credit kwa Pascal Mayalla Marekani, US, na washarika wake, EU, kupitia mashirika yao ya kibeberu ikiwemo IMF, WB, US AID, CIA, NATO, etc, ndio nchi zinazoongoza kwa imperialism, wakiamua kiongozi fulani hawamtaki kwa maslahi yao, watamtafutia sababu, wakikosa, watamtungia uongo wa ukiukwaji wa...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA anashambuliwa sana mda huu, mashabiki wa timu za Afrika wamepigwa komeo kuingia Marekani

    Mwaka ujao kutakua na kombe la dunia na watu wengi mtandaoni wapo kwenye sintofaham ya kuingia marekan, mpaka sasa raisi hajatoa kauli yoyote lakini hali sio nzuri
Back
Top Bottom