Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello, amesema katika shambulio la Marekani lililomuondoa madarakani Rais Nicolous Maduro ilisababisha idadi ya vifo ya watu 100
Hapo awali, Caracas haikuwa imetoa idadi ya waliouawa, lakini jeshi lilichapisha orodha ya majina 23 ya wanajeshi wake waliofariki. Maafisa wa Venezuela wamesema kuwa sehemu kubwa ya kikosi cha ulinzi cha Maduro iliuawa “kwa damu baridi,” huku Cuba ikisema kuwa wanajeshi na maafisa wa ujasusi wake waliokuwapo Venezuela pia waliuawa.
===========
Venezuela's interior minister Diosdado Cabello said late on Wednesday that 100 people died in the U.S. attack which removed President Nicolas Maduro from power on Saturday.
Caracas have not previously given a number for those killed, but the army posted a list of 23 names of its dead. Venezuelan officials have said a large part of Maduro's security contingent was killed "in cold blood," and Cuba has said of its military and intelligence services in Venezuela were killed.
Source: Reuters