marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tanzania iwafukuze mabalozi wa Marekani na Uingereza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

    Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa. Kauli hizi zinaingilia...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Fedha wa kampuni ya Huawei sasa kushitakiwa Marekani

    Mwaka 2018 Marekani kwa kushirikiana na Canada walimkamata mkurugenzi wa fedha wa Huawei alipokua anabadilisha ndege kwenda nchi moja wapo ya Marekani ya kusini. Tokea kipindi hicho mkurugenzi huyo yuko chini ya ulinzi nchini Canada akipigania haki yake ya kutokuhamishiwa marekani akashitakiwe...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yaituhumu Urusi kupeleka ndege za kivita nchi Libya

    Marekani imesema Urusi imepeleka ndege za kivita Libya kuwasaidia mamluki wake wanaopigana upande wa kamanda Khalifa Haftar mashariki mwa Libya. Wakati huo huo, Urusi imesema inaunga mkono usitishwaji wa mapigano Libya Katika tangazo lake lililochapishwa jana, kitengo cha jeshi la Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imemwita Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Imni Patterson ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo Ubalozi huo umekuwa ukiyaandika katika mitandao yake ya kijamii bila ya uthibitisho. Kaimu Balozi huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Habari! Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China. Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna athari zozote kama tukivunja uhusiano na WB,IMF au Marekani?

    Hivi kuna jambo lolote baya litatokea kama Tanzania tukiamua kuvunja uhusiano na Shirika la fedha Ulimwenguni (IMF), Benki ya Dunia (WB), au nchi ya Marekani? Badala ya mjadala wa kuendelea ama kutokuendelea kuwa na uhusiano na taasisi hizo ama nchi ya Marekani kwa nini kama taifa tusiamue...
  8. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wasisitiza maambukizi ya Corona jijini Dar yameshika kasi. Wadai Hospitali zimeelemewa!

    Baada ya serikali hapo jana siku ya Iddi kutangaza kubakiwa na wagonjwa wachache kabisa wa COVID19, kupitia kwa PM Majaliwa, Ubalozi wa Inmi Patterson amewatahadharisha raia wa Marekani waliopo Tanzania. Balozi huyo, amesema hivi: 'Mahospitali mengi Dar es salaam yamelemewa na wagonjwa, nafasi...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo wanaotoka Brazil

    Katika juhudi za kupamba na mripuko wa #CoronaVirus rais wa Marekani Donald Trump amepiga marufuku wasafiri kutoka Brazil Afisa habari wa Ikulu ya Kayleigh McEnany amesema kuanzia Mei 28, watu wote wasio raia wa Marekani ambao wamekuwa nchini Brazil katika muda wa siku 14 zilizopita...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

    Huyu aliyenena haya ni Tibor Nagy naibu wa mwanadiplomasia wa wizara ya nje Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika. Hatimaye mabeberu yameona usanii wetu.
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaipatia Tanzania billioni 12 kukabiliana na Corona

    Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Bendera ya Marekani kupepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuomboleza waliokufa kwa Corona

    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona. Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kukaribia 100,000...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

    Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari? Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja...
  14. JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania

    U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini): READ MORE AND APPLY HERE! Position Title: Shipping Assistant (Internal...
  16. JamiiForums Tanzania Uongo na Njama: Jinsi Marekani inavyodanganya watu wake na jamii ya kimataifa kuhusu virusi vya Corona

    Katika hospitali ya Elmhurst jimbo la New York nchini Marekani, mchana na usiku, madaktari na manesi wanajitolea kuokoa maisha ya wagonjwa wa COVID-19, ambao hofu za kuhuzunisha zinaonekana machoni mwao, lakini bado wanashindwa kumsaidia kila mmoja. Nje ya hospitali, friji kubwa zimepangwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona: Trump asema kuwe na chanjo au kusiwe na chanjo Marekani kufunguliwa

    Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…