Nashukuru Sana dada na kaka uliyenishauri Jana ingawa 90% ya advance zilikuwa za kunipopoa.
Jana niliomba ushauri baada ya mpezi wangu kuniambia anahisi ana mimba.
Jioni hii nimefanikiwa kumpima MWENUEWE, nimehakikisha amekojolea kwenye kisado akiwa mbele yangu, nikampima na majibu yakaja...
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.
Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja...
Ninaomba tu kufahamau kama hiki kitendo kinachofanywa na hii Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB), kama ni sahihi au la. Binafsi naona kama ni kitendo cha kihuni.
Maana mwezi uliopita kuna kundi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu walioko kwenye utumishi wa umma, na ambao kimsingi...
Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote.
Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
Habarini wakuu
Ni mfanyabiashara na mwajiriwa wa kampuni moja ya mawasiliano Tanzania.
Nina shida na million 6 kwa marejesho ya kuanzia miezi 10.
Naamini baadhi yetu ni wazoefu wa mikopo. Wapi naweza kupata mkopo huu.
Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo...
Ukifika ofisi za Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu unachokutana nacho ni foleni kubwa ya watu waliomaliza makato kusitisha mwezi mmoja au miwili na baada ya hapo ni kuanzia tena kukatwa kupitia mshahara. Ukifika kulalamika wanakupa fomu ujaze na baadae unapewa barua kwenda kwa mwajiri kusitisha...
Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari.
Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Moses Machali ametoa muda wa miezi mitatu na nusu kuanzia Agosti 17 hadi Desemba 02 mwaka huu, vikundi vyote vilivyokopeshwa fedha na Manispaa ya Bukoba na kushindwa kurejesha viwe viwemerejesha fedha hizo, na kwamba baada ya hapo utafanyika msako mk...
Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho.
Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.