Ikiwa wameweza kumteua marehemu, viongozi wetu wazuiwe kutukopea na kusaini mikataba, watauza Nchi!

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
17,669
27,108
Salaam, Shalom!!

Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,

Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu, ukimteua kiongozi, ni sharti umtaarifu na kumuuliza ikiwa ataafiki kabla ya kutangaza, sasa ikiwa wamemteua mtu aliye mortuary kuwa kiongozi wetu, wanaweza kabisa kutegewa ka kifungu fake kanakoongelea wageni kununua nchi yetu yote, na kwa kuwa lugha ni ngumu na huwa hawasomi na hawana Umakini watasaini tu.

Naleta HOJA mezani ya kuwapiga pin viongozi wetu wasisaini mikopo kwa niaba yetu maana yawezakuwa huwa hawazingatii masharti nyuma ya mikopo hiyo, ndiyo maana vitabu vinavyohamasisha uchafu, ushoga kwa watoto wetu vinazagaa mashuleni na mitaani.

Ushauri: Iundwe Taasisi huru yenye wataalamu wabobevu watakaohusika na kupitia vetting na mikataba yote ya nchi kabla ya kusainiwa Ili kulinda Nchi yetu.

Swali: Ni nani wa kumfunga paka kengele?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
 
Hamna rais ametokea kutopendwa na kutoeleweka kama sa 100 lakin ajabu ni kwamba atapita kwa kishindo sana 2025

ushindi huu utatokana na watu wapi au ndio marobot ya watu yatatengenezwa?
Tuombe tu hiyo 2025 ifike salama.

Kuhusu tutavukaje mto, tutajadili tukiufikia salama!!
 
Salaam, Shalom!!

Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza kuiumiza nchi yetu,

Sasa viongozi wetu wameonyesha hawana Umakini wowote, maana kiutaratibu, ukimteua kiongozi, ni sharti umtaarifu na kumuuliza ikiwa ataafiki kabla ya kutangaza, sasa ikiwa wamemteua mtu aliye mortuary kuwa kiongozi wetu, wanaweza kabisa kutegewa ka kifungu fake kanakoongelea wageni kununua nchi yetu yote, na kwa kuwa lugha ni ngumu na huwa hawasomi na hawana Umakini watasaini tu.

Naleta HOJA mezani ya kuwapiga pin viongozi wetu wasisaini mikopo kwa niaba yetu maana yawezakuwa huwa hawazingatii masharti nyuma ya mikopo hiyo, ndiyo maana vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja kwa watoto wetu vinazagaa mashuleni na mitaani!

Swali: Ni nani wa kumfunga paka kengele?

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Mbona nchi ilishauzwa kitambo sana ndugu.
 
Back
Top Bottom