mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Australia yamteua Mwanamke kuongoza Jeshi kwa Mara ya kwanza katika Historia ya taifa hilo

    Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi. Luteni Jenerali Susan Coyle, ambaye kwa sasa ni mkuu wa uwezo wa pamoja wa kijeshi, anatarajiwa kuwa mkuu wa jeshi la...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi amwakilisha Waziri Mkuu kuchangia Kanisa la Waadvertista wa Sabato Jimbo Dogo la Mara Kaskazini

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

    kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani. hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja. na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
  5. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kulikuwa na wafitini waliosababisha Wenge Musica kusambaratika na Koffi kukimbiwa na wanamuziki mara baada ya kuzuru nchini miaka ya 90?

    Kwa mujibu wa wao wenyewe Wenge BCBG ni kuwa mara baada ya ziara yao ya Tanzania mwaka 1997 ndo ukaibuka mgogoro mkubwa uliosababisha wasambaratike na kundi kuvunjika. Mwaka mmoja baadae Koffi Olomide alikimbiwa na wanamuziki wake mjini Dar es Salaam walipokuja kupiga show. Ishu ya Koffi ilikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

    Leo siku ya 10 ya safari ya Artemis II inatarajiwa kuwa moja ya siku hatari zaidi kwa wanaanga waliomo ndani ya kapsuli ya Orion. Baada ya siku kadhaa wakisafiri mbali na Dunia na kuizunguka njia ya Mwezi, sasa watakuwa katika hatua ya mwisho ya kurudi nyumbani. Lakini kurudi kutoka anga za...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utozaji mara mbili wa Ushuru wa stendi (Double Taxation): Stendi ya Mabasi Nyegezi

    Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu. Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza. Jambo kama hili...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hapa Morogoro kuna baadhi ya maeneo bei ya nauli ya bajaji imepanda mara 2 na maeneo mengine kwa nusu bei

    Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo waliopandisha hadi mara mbili ya bei ya zamani. Wapo ambao walikuwa wanabeba abiria kwa 500 leo ni 1000 kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ndo kitu kilichonifurahisha zaidi hapa JF siku nilipokiona kwa mara ya kwanza

  12. JamiiForums Tanzania Niliwahi kuota ndoto mara kadhaa kuwa nitamkuta mama anajifungua njiani Na ndicho nilichokishuhudia leo

    Wakuu ni Leo tena. Huwa sina shaka na ndoto zangu kabisa ila ni sharti ijurudie mara3 ndo inakuja kutimia kwa 97%-100% Mwaka 2024 nikiwa kijijini kwa wazee niliota kuwa naenda kazini night shift nikamkuta mama anajifungua(yaani naingia usiku kazini japo huwa siendi usiku huwa naenda saa10...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unaweza kukubali utajiri wa masharti wa kuoga mara 1 tu kwa mwezi ?

    Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri. Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea Swali la kizushi kwenu Tuchukulie ingekuwa kweli kama...
  14. JamiiForums Tanzania Mwisho wako: Hiki ndicho kinachotokea mara unapokufa

    Mara tu mapigo ya moyo wako yanaposimama kupiga, mwili wa binadamu huanza mara moja mfululizo maalum wa mabadiliko ya kibaiolojia ya kuoza. Kadiri oksijeni inavyoacha kusambazwa, seli huanza kulegea katika hali inayoitwa kulegea kwa awali (primary flaccidity), kisha hufuatiwa na rigor mortis —...
  15. JamiiForums Tanzania Umepumzika lini mara ya mwisho? Ukaona "hapa kweli nimehema"

    Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye "hakuna jinsi" kwa muda usio na jina, na huu mwezi uliopita ilikuwa kama kupita kwenye tanuri...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO mna shida gani? Kwanini umeme unakatika mara kwa mara?

    Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa umeme ipo?
  17. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete ashiriki ziara ya kamati ya bunge TAFICO

    MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MARA MHE. GHATI CHOMETE ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI YA BUNGE TAFICO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo iliyofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya umeme Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni

    Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…