mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

    Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja. Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea...
  2. CRDB CRDB CRDB, Nawaita mara tatu!!

    Hii CRDB mnatutendea vibaya sana! 😡 Jana mmekata hela kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu. Hata mbaya zaidi, nimetuma hela kwenda M-Pesa na hazijafika wala kurudi tena kwenye akaunti yangu. Hii ni dharau kubwa kwa wateja wenu. Hivi mnajua maisha yalivyo magumu huku chini? Kila senti...
  3. Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

    Nauliza tu. Nikiwa nakula kwa wiki angalau mara mbili hivi; kuna madhara yo yote naweza kupata? I can't believe this 👐
  4. Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  5. R

    Kinara wa Biashara ya Bangi akutwa na Tani 6.5 mkoani Mara

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), mkoani Mara, imefanikiwa kumkamata mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi...
  6. Tangu Jana ajue niko USA mtoto amekua msumbufu ananisalimia mara 7 kwa kutwa

    Yaani ni opportunity in disguise ,ile mamlaka tangu jana wawazuie washikaji wasipashane habari ,vidume kibaooo vimeyeyuka havionekani mjini ban limewakalia kooni,walioko ni vidume tu wa mbegu wazee wa kuchana anga!!. Sasa iko hivi...kuna mtoto mkali balaa humu JF nilikuna nae maeneo ya Mlimani...
  7. Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kwa mwanamke huimarisha afya yake

    Mwanamke asiposhiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu anaweza kukumbana na mabadiliko ya kimwili kama vile ukavu wa uke, kupungua kwa uimara wa sakafu ya fupanyonga, na kupungua kwa ulainishaji asilia, na mabadiliko ya kihisia kama vile kuongezeka kwa mfadhaiko, hasira, wasiwasi, upweke, na...
  8. Mto Mara na Chumvi

    Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya kwa kilimo kama bustani inabidi kuchukua tahadhari ya kupambana na maji haya vinginevyo...
  9. F

    Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  10. Kwa Mara ya Tatu na ya mwisho; Naiomba Serikali imuachie Tundu Lissu Kabla ya Septemba 7

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani Katika Hekalu Jeusi Kwa heshima yote isiyo na hila, nilianza kuiomba serikali tangu august 13 kuona namna ya Kumuachia Tundu Antipas Lisu. Hii ni kusema mpaka tarehe 7 septemba, zitakuwa sio chini ya siku 24 tangu nitoe ombi hilo. Lilikuwa Ombi la heshima na...
  11. Mara paah! Ndio ameingia getto utawaza nini

    WEKA MAJIBU DEADLY DEADLY PEKEE 😃
  12. Polisi Mara watoa wito kwa mwenye taarifa za kweli za kupotea Sinda Samson Mseti kuziwasilisha ili zifanyiwe kazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Polisi Tarime Rorya limeona picha mjongoo yenye dakika 4:38 ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha kusambazwa na mtu mwenye akaunti ya Instagram yenye jina la martinmaranjamassese, ikionyesha kundi la watu wakiingia kwenye nyumba moja majira ya usiku. Maelezo...
  13. Mtazamo: Kinachotuumiza Mara nyingi si kile tunachokutana nacho Bali matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu

    Wasalam. Wakuu naomba tuwekane sawa katika hili Ukijaribu kuangalia utagundua kuwa kitu Kinachotuumiza si kile tunachokutana nacho Bali ni matarajio tuliyoyaweka kwenye hicho kitu Ukiwa na matarajio makubwa na kitu Fulani ndo utaanza kutumia nguvu nyingi kuwekeza akili yako pesa yako na hata...
  14. Mara ya kwanza nilipotembelea Kumamoto, Japan

    Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
  15. Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  16. Katiba inasemaje kuhusu nafasi za Mawaziri mara baada ya Bunge kuvunjwa?

    Nadhani Watanzania tumekuwa wazembe sana kuhoji vitu muhimu. Tunashindwa kuhoji hasa kuhusu akina Bashungwa, Bashe na wengine kuendelea na majukumu ya Uaziri na huku Bunge limevunjwa. Sheria inasemaje nafasi ya Uaziri pindi Bunge linapovunjwa.
  17. B

    Hubiri la tatu na la mwisho: Twendeni mpaka Gilgali(Oktoba) ili tuuimarishe ufalme(Urais) huko mara ya pili

    Andiko kuu: 1 Samweli 11:14 1 Samweli 11:14 Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuimarishe ufalme huko mara ya pili. Usuli (Background) Sura ya 9 na ya 10 ya kitabu cha kwanza cha Samweli (1 Samweli), inatutambulisha juu ya kupatikana mfalme wa kwanza kwa...
  18. Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi. Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO. NIDA mmetukosea sana Watanzania...
  19. U

    Maumivu makali ya korodani mara kwa mara

    Wadau nimekuwa muhanga wa tatizo Hilo tangu nikiwa balehe mpaka Leo hii nikiwa na umri wa miaka 27. Huwa janga hili linajitokeza mara Kwa mara nasikia uchungu sana haswa kwenye korodani Moja tu inaniletea mpaka ugumu wa kutembea kwa amani. Ni nini chanzo na tiba yake ikoje? Je, kuna madhara...
  20. Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…