mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

    Za masaa wana JF. Leo nimeona ni vyema kuwaletea kisa kilichonitokea mwaka 1987 nikiwa kidato cha tano huko Ilboru secondary school. Nilikuwa nikisikia tu habari za malaika kwenye ibada za kidini. Siku hiyo niliamka usiku kwenda kusoma darasani kama kawaida yangu, yapata saa nane za usiku...
  2. JamiiForums Tanzania Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

    Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe Serikali iifute mara moja. Element ya "Beyond Reasonable Doubt Haipo"

    Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa! Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
  4. JamiiForums Tanzania Mara: RC Ally Hapi atoa mwezi mmoja kwa wazazi mkoani humo kuwaruhusu watoto kwenda shule hata kama ni kwa kuvaa madera

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ametoa mwezi mmoja kwa wazazi mkoani humo kuwaruhusu watoto kwenda shule hata kama ni kwa kuvaa madera lengo ni kuhakikisha hawapitwi na masomo kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Suluhu Samia wa ujenzi wa madarasa kupitia fedha za Uviko "Nisiskie...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mara apewa amri na mwananchi akitaka choo kianze kazi mara moja 😂

  6. JamiiForums Tanzania Tumalize utata kwanini Yanga ni bingwa mara 27

    Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo. Katika orodha hiyo hapo chini ukihesabu ubingwa wa Yanga kwa LIGI KKUU TANZANIA BARA TU Yanga...
  7. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini YANGA wanadai wameshinda mara 27 lakini uhalisi ni mara 22?

    Nimepitia mitandao mingi ya uhakika inayoweka kumbukumbu za ubingwa wa soccer duniani. Kumbukumbu hizo zinaonesha Yanga kachukua ubingwa mara 22. Nimeweza kuenda kwenye website ya Yanga nao pia wameweka Title mara 27 lakini miaka waliyoiorodhesha inaishia 22. Je, lengo la yanga kutunga na...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa dawa ya kutibu tatizo la kichwa kuuma mara kwa mara

    Habari wapendwa? Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba sasa kinanisumbua tu. Nimeenda hospitali mbalimbali lakini naambiwa sina, nimepiga CT scan MRI...
  10. JamiiForums Tanzania Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha Visa ya Novak Djokovic kwa kutokuchoma Chanjo

    Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya kuwa amechoma chanjo dhidi ya UVIKO-19. Uamuzi huu uliotangazwa na waziri wa masuala ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

    Hello guys! Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta. Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC. Kweli nchi ngumu hii.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiboko; Kwa mara ya kwanza Tanzania imeuza zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya

    Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
  14. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ndugai huu mwaka kaomba msamaha mara mbili kulikoni!!!?

    Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!! Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume umemponza,,, ameomba msamaha ila naona msamaha umedunda!!! Je,ataomba msamaha kwa lipi tena???
  16. JamiiForums Tanzania Covid 19 (Wabunge Kharamu) ni wakati sasa wa Kumkana Ndugai mara 3. Kabla Jogoo hajawika. Achaneni naye kwa sasa siyo Deal tena

    Ili kupata ithibaki inabidi sasa muhamie upande wa kumtetea Rais. Mkibaki kushangaa shangaa mtakuja kupigwa chini Ndugai akiondolewa. Hili nawashauri. Anzeni nanyi kumrushia mawe na madongo akifa huku hamjarusha hata jiwe moja mtaonekana mlikuwa nyuma yake. Lazima muwe wajanja kama nyoka. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  18. JamiiForums Tanzania Hata Hayati Magufuli alinusurika kuuawa mara kadhaa wahuni si watu

    Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliwahi kunukuliwa kuwa alinusurika kuuawa kwa sumu mara kadhaa. Yote haya yanaweza kuakisi kazi za WAHUNI. Tuungane kukemea wahuni.
  19. JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…