Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Mama hata wanawake wenzake wanamshangaa

Screenshot_20210723-063714_Twitter.jpg
 
Fatuma nae ni mnafiki tu...

Babu yake, alikuwa dikteta tu!!

Dr. Salmim Amour hakuwa na tofauti yoyote na Samia, tena huenda Salmin alikuwa ni gaidi zaidi kwa jinsi alivyokuwa anawanyanyasa CUF!

Utawala wa baba yake, ndio ulisababisha mauaji ya Wazanzibar kadhaa mwaka 2001 hata kama tutaamua kumbebesha Mkapa zigo lote la lawama!!

Utawala wa Shein ndio kwa mara nyingine ulipora ushindi wa Maalim Seif bila aibu hata kama tutamsingizia JK!!! Na wakati Shein anatoka madarakani kumpisha Hussein Mwinyi, sote tulishuhudia ukatili uliokuwa umefanyika Zanzibar dhidi ya wanachama wa ACT.

So long as unatoka CCM, haijalishi kama ni mtu wa bara au visiwani!! Wote ni madhalimu tu!!! Huyo anayejifanya kumuonea aibu hivi sasa hana tofauti yoyote na ma-CCM mengi ya huko huko Zanzibar!

Tatizo la Fatma Karume ni tatizo la watu wengi wa visiwani!! Hawa wanataka kuaminisha watu kwamba watu wa Visiwani ni waungwana lakini watu wa bara ni barbarians tu!
 
Mama Samia Suluhu Hassan ni Mtanzania achaneni na huo ubaguzi wa kutuletea u-zanzibar na u-bara

Tatizo lenu mlijua yeye ni rahisi kwenu sasa mnachanganyikiwa kugundua sio rahisi ila ni Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Mungu akutunze mama yetu, tunakuamini 100💪🙏
 
Wote akili zenu kama Mbowe tu, Div 0. Mbowe kajiona mbabe na kuanza kuzunguka nchi nzima kumdharau mh. Rais sbb ameona ni mwanamke kaona hamfanyi kitu, sasa atanyea debe hadi anyooke. Sasa mnapiga makelele mitandaoni, mfuateni msaidieni, nendeni, makamanda feki mmebakia mitandaoni tu, nendeni mkamsaidie. Sasa case yake inakuja kali sana, makamanda feki nendeni, acheni kuongea tu mitandaoni, mnajifunza ugaidi, miaka 100 jela pumbaf
 
Unafanya ugaidi alafu unaacha nyayo zote kwenye laptops na simu...hii ndio akili ya kamanda wa anga
 
Fatuma nae ni mnafiki tu...

Babu yake, alikuwa dikteta tu!!

Dr. Salmim Amour hakuwa na tofauti yoyote na Samia, tena huenda Salmin alikuwa ni gaidi zaidi kwa jinsi alivyokuwa anawanyanyasa CUF!

Utawala wa baba yake, ndio ulisababisha mauaji ya Wazanzibar kadhaa mwaka 2001 hata kama tutaamua kumbebesha Mkapa zigo lote la lawama!!

Utawala wa Shein ndio kwa mara nyingine ulipora ushindi wa Maalim Seif bila aibu hata kama tutamsingizia JK!!! Na wakati Shein anatoka madarakani kumpisha Hussein Mwinyi, sote tulishuhudia ukatili uliokuwa umefanyika Zanzibar dhidi ya wanachama wa ACT.

So long as unatoka CCM, haijalishi kama ni mtu wa bara au visiwani!! Wote ni madhalimu tu!!! Huyo anayejifanya kumuonea aibu hivi sasa hana tofauti yoyote na ma-CCM mengi ya huko huko Zanzibar!

Tatizo la Fatma Karume ni tatizo la watu wengi wa visiwani!! Hawa wanataka kuaminisha watu kwamba watu wa Visiwani ni waungwana lakini watu wa bara ni barbarians tu!
Sentensi ya mwisho umevuruga yote uliyoyaandika
 
Back
Top Bottom