mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa Dar na kukulia Dar, mara ya kwanza kwenda kijijini ilikuaje?

    Wakuu, Tumesikia na tunaendelea kusikia story nyingi vituko na mikasa inayosimuliwa na watu wanaokuwa wamefika Dar kwa mara ya kwanza, jinsi jiji lilivyowakaribisha na kupata ile maana halisi ya msemo "Mjini shule". Sasa tusikie kwa upande wa Dar na experience zao walivyofika kijijini kwa mara...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza naskia chuo kinachoitwa FETA

    Hivi hiki chuo kinadahili watu wa aina gani na waliofaulu vipi? Au div four wote wanaishi huko?
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

    MTATIRO ASHUSHA BEI ZA MAJI SHINYANGA VIJIJINI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji kwenye kata mbalimbali za jimbo la Shinyanga Vijijini na kutaka bei mpya ziwe sawa na zile za Shinyanga Mjini mara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inawapendelea zaidi wenye pesa kama huna utahisi kuonewa mara zote, hii ni asili ya dunia

    KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔 Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli . Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna mambo tunasema ni mpango wa Mungu ila waathirika wakubwa hata kwenye hayo mambo huwa ni Maskini...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natenyahu maji ya shingo, Marekani yamwamuru kusitisha vita mara Moja!

    1. Kumekucha! 2. Huku kuna watoa misaada kawauwa kwa makusudi, kule kuna jingine na Iran linatokotoka vilivyo; kavunja Geneva convention kwa kushambulia consulate ya wengine ugenini. 3. Alimradi mwana mkaidi kazini! 4. Sasa amri anayoielewa vyema imeshatoka; tena ya babaake kutokea white...
  7. JamiiForums Tanzania Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  8. JamiiForums Tanzania Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Karatu umeme unakatika zaidi ya mara tano (5) kwa siku

    Umeme katika line ya KARATU maeneo ya NMC, Mangafi, Gibbs, Endoro, Marera, Ayalabe, Rhotia, kilima tembo, Mbulumbulu, Manyara kinaoni, Chemchem, Mto wa Mbu, Selela, unakatika sana, yani mara kwa mara kiasi cha wananchi kuwa na hofu ya kuunguliwa na vifaa vyetu vinavyotumia umeme. Manager wa...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  12. JamiiForums Tanzania Hongereni wafanyakazi wote wa serikali mlioajiriwa APRIL 1, 2014, Leo mmetimiza miaka 10, (miaka 10 kupandishwa cheo mara moja!) Hongereni!

    Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo, Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1, Leo hii wametimiza miaka 10! Lakini cheo walipata mara moja tu! Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja! Miaka 10 daraja moja! Mungu awatie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa kero ya kukatika umeme mara kwa mara?

    Kwa umri wangu huu ninapoingia miaka 60 sijawahi kushuhudia umeme kuwa stable hapa nchini kwetu Tz. Kuna sababu nyingi zimekuwa zikitolewa ambazo zimekuwa zikijirudia hizohizo miaka yote: 1. Maji kupungua bwana la mtera 2. Kukosekana kwa mvua 3. Hitilafu ya mitambo 4. Mitambo kufanyiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  16. JamiiForums Tanzania Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

    Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika. Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya! Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.
  17. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika jamii ya watanzania kutuomba radhi watu wa Mkoa Mara

    Mkoa wa Mara una historia kubwa sana katika nchi hii. Ni mkoa pekee ambao mewahi kutoa viongozi wa juu wa serikali kwa wakati mmoja. Nikimaanisha CDF, PM na President. Bahati mbaya sana ulipachikwa sifa mbaya kuwa ni mkoa wa watu wa korofi, wanyanyasaji na ambao kazi zao kuu ni mbili kama si...
  19. JamiiForums Tanzania Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kukubali

    Wadau hivi kati ya Mwanamke anayeomba pesa mara tu baada ya kukubali kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume na mwanaume anayeomba sex mara tu baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke yupi muongo au tapeli wa mapenzi kwa mwezie
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…