Rio Shabazz
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,334
- 2,169
Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika.
Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya haya!
Aisee sijawai kuwa kwenye mapenzi yenye usumbufu kama haya.