mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Its okey ni maisha yako ndugu, lakini hauwezi nishawishi kidume nivae vipensi vifupi vya kubana mapajani alafu vina rangi mara ya pink sijui dhambarau

    YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  3. U

    JamiiForums Tanzania "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  4. JamiiForums Tanzania Atta 'Ziyatu Marratan: Kupeleka rambirambi kuwe mara moja tu

    Ni desturi mbaya kukusanyika mahali pa matanga na kukaa hapo hapo siku nyingi kuwatia gharama waliofiwa. Mtu aliepatwa na msiba lazima apewe mkono wa tanzia maana atafarijika lakini kuiendeleza muda mrefu kutamwongezea huzuni na mzigo.
  5. JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo wa Iran na Israel, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Picha za runinga ya serikali zilimuonyesha akiwasalimia waumini kwenye msikiti siku ya Jumamosi kabla ya tamasha la...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

    Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Geita iwe Kanda maalum ya Kipolisi kama ilivyo Dar es salaam na Mara

    Watu wameshituka na baadhi ya matukio ya kusikitisha yanayotokea Geita kama mauaji ya Mirembe, Eneck, Albino n.k, Kwa tuliowahi kuishi Geita haya ni matukio ya kawaida mno Geita Kuna uharifu wa kutisha, ubabe, ukatili, unyanganyi, ujambazi wa hali ya juu, yaani habari zingine Huwa hazifiki...
  8. JamiiForums Tanzania Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara

    Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara ambapo Kuna danguro la ushoga, huku baadhi ya watumishi wa umma wakiwemo kwenye kundi la ushoga.
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa ni Ngumu sana 'Kurogwa' na Wanawake kama ambavyo Wanaume wa kwingineko 'Hurogwa' nao mno?

    Mimi huwa natamani sana Wanawake zangu mbalimbali wawe Wananiroga ila nasikitika na najisikia vibaya mno kuwa pamoja na kuwafanyia kila aina ya Matukio (Kuwasaliti) lakini wameshindwa Kunituliza sana sana huishia tu kunipiga Mkwara (Kunitishia) kuwa wataniendea kwa Mganga ili nitulie ila ndiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara

    Wakati zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa makada wa Chama cha Mapinduzi likifika siku ya pili Kada wa Chama cha Mapinduzi Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofsi za...
  11. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  12. JamiiForums Tanzania Mnyama anaua mara moja binadamu anaua mara tatu

    Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea.. Akipata nafasi hukimbia.. Hana kisasi Mnyama anaua tu pale anapoumwa njaa ili apate chakula. Na...
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  14. JamiiForums Tanzania Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  17. JamiiForums Tanzania Katika historia ya TISS, ni mara moja tu walifanya Press Conference, ilikuwa ni mwaka 2010, nini hasa kilijiri?

    Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho. Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa. Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Simba Ikidhalilishwa kwa Mara ya Tano Mfululizo na Yanga

    1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo Dewji anaongoza, Mangungu anaongoza, kale kadada CEO kanaongoza kwa remote kutoka kwa friends of...
  19. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi unajua uchumi wa la jimbo la South Carolina ni mara tatu ya uchumi wa nchi yako?

    Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame. Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…