mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Clatous Chama kurejea Simba Sc kwa mara ya 3

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Yanga SC na kwa sasa Singida Black Stars, Chota Chama “Triple C”, inasemekana yuko mbioni kurejea tena kwenye viunga vya Msimbazi. Endapo Simba SC watamrudisha nyota huyo, itakuwa ni mara ya tatu kuivaa jezi ya klabu hiyo. Swali linabaki: Je, Simba SC wamekosa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jean Bedel Bokassa, na Makaburu, watawala pekee Afrika walioua watoto. RPC Mwanza atumbuliwe mara moja

    Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29. Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea. Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika? Afrika tuna bahati mbaya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mtendaji wa TEMESA na Menejimenti yake wafutwe kazi, uchunguzi ufanyike vivuko kuharibika mara kwa mara

    WAZIRI MKUU Dkt. Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi na kufikishwa katika vyombo vya sheria kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) pamoja na Menejimenti ya wakala huo kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya shilingi bilioni 2.5. Pia, Waziri Mkuu amemuagiza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo, ni mara mia ukutane na majambazi kuliko Polisi?

    Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi. IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force). Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Jumatatu napanda ndege kwa mara ya kwanza

    Guyz kama title unavyo eleza napanda ndege kwa mara ya kwanza maishani ..Naomba Abc za kuzingatia
  9. JamiiForums Tanzania Msiache kujaribu kuomba kazi mara kwa mara

    Adverts Applied 8 Shortlisted 8 Interview Attended 5 Oral Interview Attended 1 Hiyo ni status yangu ya Ajira portal baada ya kumaliza chuo 2021 hadi 2025 niliiaply jumla ya kazi 8 na nikaitwa kufanya 8 ila mi nikauzulia kufanya 5 na 1 nikaotea...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 DCP Misime: Hadi sasa hali kiusalama nchini kwetu iko shwari

    Leo Disemba 12, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa baada ya saa 24 kupita toka tulipotoa taarifa ya mwisho asubuhi ya tarehe 11.12.2025 juu ya hali ya usalama nchini. Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime amesema "Tungependa kuwajulisha kuwa, kwa ushirikiano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

    JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli? 2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
  15. JamiiForums Tanzania Unaongea na mpenzi mara ngapi kwa siku ??

    Ndugu zangu,tupeane ushauri hapa, kwa siku unatakiwa kuongea na mpenzi wako mara ngapi ???
  16. JamiiForums Tanzania Mara hii lugha ya mama imebadilika hivi?

    Baada ya kuangukia madaraka kama wakenya ambayo wangesma, Samia Sulubu Hassan alliahidi kuifungua Tanzania kana kwamba ilikuwa imefungwa. Alianza kuvaa barakoo tofauti na mtangulizi wake. Alianza lugha ya economic diplomacy au diplomasia ya uchumi. Aliongelea demokrasia, maridhiano na mambo...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana. Mungu nipe wepesi.
  20. JamiiForums Tanzania 2001 TEC ilikuwepo, je, walitoa matamko na press za mara kwa mara kama ilivyo mwaka huu?

    Nauliza tu kwa amani. TEC ina combine wasomi haswa. Au tunaweza kusema TEC ni nyumbani kwa makachero, wanaweza kuwaimgiza watu mkatumukia agenda zao bila ninyi wenyewe kujijua. 2001 yalitokea haya ya 2025 kule Zanzibar, je, TEC ilichukulia serious kama ilivyo leo? au walitoa tamko la juu juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…