mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania Walichokifanya Simba Sc kwenye Mechi ya Mlandege ni wazi wameamua kulipuuza Kombe la Mapinduzi na kuamua kujitoa kimkakati

    Habari wanajukwaa wa JF, Naamini mwaendelea vyema kabisa huko bongo. Mimi ndugu yenu nipo hapa Canada baridi ni kali kweli kweli ila wakati huu ambao nimepumzika hapa na mchepuko wangu wa kizungu (maana mkewangu kaja huko Tanzania kusalimia wazee) nimeona nishee jambo kidogo kuhusu mambo ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup ipewe hadhi

    Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup. Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha. Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
  3. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup: Simba 0-1 Mlandege

    Mechi ni saa 20:15 Muda huu ishaanza Ghazwat Greatest Of All Time Imekuwaje mpaka muda huu hamjaweka uzi wa updates?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi anzeni nyie mikutano ya hadhara

    CHAMA cha Mapinduzi CCM kinapaswa ndio kiwe chama cha kwanza cha siasa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Jiji la Dar es Salaam na baadaye Mwanza, Mbeya na Arusha kama sehemu ya kuzindua mikutano ya hadhara iliyotangazwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan. Je, ni maeneo gani ungependa CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Gambia yathibitisha kuzima jaribio la kwanza la Mapinduzi ya Serikali

    Mamlaka zimewakamata watu 4 wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza Mapinduzi dhidi ya Rais Adama Barrow, ikiwa ni tukio la kwanza la uasi tangu amshinde mtawala wa muda mrefu Yahya Jammeh. Pia, Jeshi limetangaza msako kwa Watu wengine watatu wanaotafutwa kwa madai ya kuhusika katika kupanga njama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  8. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  10. JamiiForums Tanzania UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  12. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  13. JamiiForums Tanzania Pep Guardiola na Mapinduzi ya Soka

    Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s. Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana aliokaa nao na wanaoiga uchezaji wake, kina Xavi Hernandez, Mikel Arteta, Erik Ten hag, n.k Moja ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
  15. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya siku hizi yanafananaje?

    Hii mada ni ya kiutu uzima kwa hiyo tuweke mzaha pembeni kidogo. Miaka ile ikitokea kuna mapinduzi ya kijeshi, moja ya sehemu ya kwanza ambapo wafanya mapinduzi walikuwa wanachukua ni radio au television ya taifa. Tukumbuke kuwa kipindi hicho kulikuwa hakuna media binafsi. Hivi katika dunia ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweka historia mpya katika Sekta ya Elimu

    Rais Samia anaenda kuweka historia nyingine mpya katika sekta ya elimu licha ya maboresho makubwa yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka 2021/22 kwa sekta ya Elimu, tayari serikali imepanga kutumia kiasi cha takribani Trilioni 2.78 katika miradi ya maendeleo ya Elimu. pia Kupitia mradi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Unamjua ''Bamanga'' Katika Historia ya Uhuru na Mapinduzi ya Zanzibar?

    UNAMJUA ''BAMANGA'' AHMED SAID KHARUSI KATIKA HISTORIA YA UHURU WA ZANZIBAR? Leo nimeletewa picha ya Ahmed Said Kharusi maarufu, ''Bamanga.'' Maktaba yangu ya picha imepambwa sasa na picha mbili za mzalendo huyu ambae hatajwi katika historia ya Zanzibar. Nimemtaja Ahmed Rashaad Ali mara nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

    Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907 A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907. ⁣ ⁣ The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…