Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano.
Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa...
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut...
Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu
Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea kutishia utulivu hasa katika Mji Mkuu wa Khartoum na hivyo kuwa na uwezekano wa kuvunjika kwa...
Mambo mengi muda mchache, mbele kwa mbele, ulimwaga unga wenzako wanamwaga mboga, Mrusi vita vimemkuta ndani, hawa ni Warusi walioamua kumuondolea Putin uzembe maana amesababisha maafa ya Warusi kwenye vita kule Ukraine, vita ambavyo havina tija kwa Urusi.
Warusi wameuawa kwa maelfu pale...
Mapigano ya Bakhmut nimeyafuatilia kwa kina bila Upendeleo wowote ule. Ukweli uko hivi:
1.Wapiganaji wa WAGNER kazi yao ni kuuteka mji wa Bakhmut(City centre) wakitokea Mashariki mwa Dotnesk.
2.Wanajeshi wa Urusi (Russia Regular Army) walipewa kazi mbili:
(i) Kuteka vijiji vote vinavyouzunguka...
Chama cha Madaktari nchini humo kimetangaza kuwa idadi ya vifo vya Raia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Jeshi na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) imefikia 822, na wengine 3,215 wamejeruhiwa
Jiji la El-Geneina katika Jimbo la Darfur Magharibi linatajwa kuathirika zaidi tangu...
Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine.
Makubaliano ya awali ya kusitisha...
Mtandao wa #NetBlocks umeripoti kuwa Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana Nchini #Sudan imesababisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%.
Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na vya Makamu...
Leo Bungeni, waziri Tax ametoa wito kwa pande zinazohasimiana Sudan zifikie suluhu na kulaani mapigano hayo. Tax amesema wapo watanzania 210 na hadi sasa hawajapata taarifa ya mtanzania aliyedhurika.
Tanzania imesema inafanya mpango wa 'evacuation' kwa raia wa Tanzania endapo itahitajika.
Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne.
Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa.
Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
Idadi hiyo ni taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ikielezwa kuwa imefikiwa baada ya mashambulizi ya siku 3 mfululizo kati ya Jeshi la Serikali na Wanamgambo wa Kundi la RSF.
Wakati huohuo, Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini Sudan, Aidan O'Hara amejeruhiwa baada ya nyumba yake kushambuliwa Jijini...
Mapigano ya silaha za moto kati ya Jeshi na Kundi la Wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo katika sehemu mbalimbali za Nchi lakini zaidi ni katika Mji Mkuu wa Khartoum.
Pande zote zinadai zinadhibiti maeneo muhimu kama vile Ikulu ya Rais. Jana Aprili 16...
Kuna taarifa kuwa Kiongozi wa serikari ya Sudani ya kaskazini na naibu wake wametofautiana. Jambo ambalo limesababisha jeshi kugawanyika na kuanza kupigana wao kwa wao, je mzizi wa mgogoro huu ni nini? Mwenye data tafadhari.
Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23.
Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa kwa kupigwa risasi baada ya kushambuliwa mtandaoni kutokana na alichokiweka kwenye ukurasa wake wa...
Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020.
Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India...
Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani.
Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
Speaker wa Bunge la wawakilishi nchini Marekani,Nancy Pelosi amewasili katika mji Mkuu wa Armenia,Yerevan. Ziara hiyo inakuja baada ya Mapigano makali ya Kijeshi Kati ya Armenia na Azerbaijan yaliyosababisha Vifo vya Wanajeshi zaidi ya 250 kutoka pande zote Mbili. Mapigano hayo yalitokea katika...
Mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan yamesababisha kuuawa kwa Wanajeshi hao, ambapo kwa Armenia waliouawa ni 49 wakati Azerbaijan ni 50.
Serikali zote mbili zimetupiana lawama juu ya mauaji hayo, Armenia ikidai miji yake kadhaa kwenye mpaka ilishambuliwa kwa makombora na ndipo wakajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.